Ulaya
From Wikipedia
ya Aktika
Baltika
ya Baski
ya Ueire
Denmark
Greenland
ya Kadizi
ya Liguria
Norwei
Gibraltar
Ulaya ni bara: eneo la Ulaya ni 10,600,000 km² na wakazi ni 700 milioni. Katika orodha inayofuata kanda zinatajwa katika utaratibu wa Umoja wa Mataifa (UN categorisations/map).
Contents |
[edit] Ulaya ya Kati
Ugawaji huu haukubaliki ndani ya Ulaya kwa nchi za Ulaya ya Kati. Wajerumani, Waaustria, Waswisi, Waceki, Waslovakia na Wapoland hukubaliana ya kwamba wenyewe si Ulaya ya Magharibi wala ya Mashariki lakini Ulaya ya Kati. Kuna majadiliano kuhusu mipaka ya kanda hili yasiyokwisha bado, kwa mfano swali la Hungaria au Latvia.
[edit] Orodha ya nchi na maeneo
Jina la nchi au eneo, bendera |
Eneo (km²) |
Wakazi (mnamo Julai 2002 takriban) |
Wakazi kwa km² | Mji Mkuu |
---|---|---|---|---|
[edit] Ulaya ya Mashariki:(1) |
||||
Belarus | 207,600 | 10,335,382 | 49.8 | Minsk |
Bulgaria | 110,910 | 7,621,337 | 68.7 | Sofia |
Ucheki | 78,866 | 10,256,760 | 130.1 | Prague |
Hungaria | 93,030 | 10,075,034 | 108.3 | Budapest |
Moldova | 33,843 | 4,434,547 | 131.0 | Chisinau |
Poland | 312,685 | 38,625,478 | 123.5 | Warsaw |
Romania | 238,391 | 21,698,181 | 91.0 | Bucharest |
Urusi (2) | 3,960,000 | 106,037,143 | 26.8 | Moscow |
Slovakia | 48,845 | 5,422,366 | 111.0 | Bratislava |
Ukraine | 603,700 | 48,396,470 | 80.2 | Kyiv |
[edit] Ulaya ya Kaskazini: |
||||
Denmark | 43,094 | 5,368,854 | 124.6 | Copenhagen |
Estonia | 45,226 | 1,415,681 | 31.3 | Tallinn |
Visiwa vya Faroe (Denmark) | 1,399 | 46,011 | 32.9 | Tórshavn |
Finland | 337,030 | 5,183,545 | 15.4 | Helsinki |
Guernsey (3) | 78 | 64,587 | 828.0 | St Peter Port |
Iceland | 103,000 | 279,384 | 2.7 | Reykjavík |
Ireland | 70,280 | 3,883,159 | 55.3 | Dublin |
Kisiwa cha Man (3) | 572 | 73,873 | 129.1 | Douglas |
Jersey (3) | 116 | 89,775 | 773.9 | Saint Helier |
Latvia | 64,589 | 2,366,515 | 36.6 | Riga |
Lithuania | 65,200 | 3,601,138 | 55.2 | Vilnius |
Norway | 324,220 | 4,525,116 | 14.0 | Oslo |
Visiwa vya Svalbard and Jan Mayen (Norway) |
62,049 | 2,868 | 0.046 | Longyearbyen |
Sweden | 449,964 | 8,876,744 | 19.7 | Stockholm |
Uingereza | 244,820 | 59,778,002 | 244.2 | London |
[edit] Ulaya ya Kusini: |
||||
Albania | 28,748 | 3,544,841 | 123.3 | Tirana |
Andorra | 468 | 68,403 | 146.2 | Andorra la Vella |
Bosnia na Herzegovina | 51,129 | 3,964,388 | 77.5 | Sarajevo |
Kroatia | 56,542 | 4,390,751 | 77.7 | Zagreb |
Gibraltar (Uingereza) | 5.9 | 27,714 | 4,697.3 | Gibraltar |
Ugiriki | 131,940 | 10,645,343 | 80.7 | Athens |
Italia | 301,230 | 57,715,625 | 191.6 | Roma |
Makedonia | 25,333 | 2,054,800 | 81.1 | Skopje |
Malta | 316 | 397,499 | 1,257.9 | Valletta |
Ureno (6) | 91,568 | 10,084,245 | 110.1 | Lisbon |
San Marino | 61 | 27,730 | 454.6 | San Marino |
Serbia wa Montenegro | 102,173 | 10,280,000 | 100.6 | Belgrade |
Slovenia | 20,273 | 1,932,917 | 95.3 | Ljubljana |
Hispania (7) | 498,506 | 40,077,100 | 80.4 | Madrid |
Mji wa Vatikano | 0.44 | 900 | 2,045.5 | Citta del Vatikano |
[edit] Ulaya ya Magharibi: |
||||
Austria | 83,858 | 8,169,929 | 97.4 | Vienna |
Ubelgiji | 30,510 | 10,274,595 | 336.8 | Brussels |
Ufaransa (8) | 547,030 | 59,765,983 | 109.3 | Paris |
Ujerumani (Udachi) | 357,021 | 83,251,851 | 233.2 | Berlin |
Liechtenstein | 160 | 32,842 | 205.3 | Vaduz |
Luxemburg | 2,586 | 448,569 | 173.5 | Luxemburg |
Monako | 1.95 | 31,987 | 16,403.6 | Monaco |
Uholanzi (9) | 41,526 | 16,318,199 | 393.0 | Amsterdam, The Hague |
Uswisi | 41,290 | 7,301,994 | 176.8 | Bern |
[edit] Asia ya Magharibi: |
||||
Armenia (10) | 29,800 | — | — | Yerevan |
Azerbaijan (11) | 39,730 | 4,198,491 | 105.7 | Baku |
Cyprus (12) | 5,995 | 780,133 | 130.1 | Nicosia (Lefkosa) |
Georgia (13)} | 49,240 | 2,447,176 | 49.7 | Tbilisi |
Uturuki (14) | 24,378 | 11,044,932 | 453.1 | Ankara |
[edit] Asia ya Kati: |
||||
Kazakhstan (15) | 370,373 | 1,285,174 | 3.4 | Astana |
Total | 10,431,299 | 709,022,061 | 68.0 |
Notes:
1. Kanda zinazotajwa (Ulaya ya Kusini – magharibi n.k.) zinafuata utaratibu wa Umoja wa Mataifa UN categorisations/map. Nchi kadhaa zinazotajwa hapo chini zinaweza kuhesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya na pia bara nyingine (Asia, Africa, au Oceania). Hii inategemea na namna ya kugawa kontinenti; pia wakazi wenyewe wanaweza kujielewa tofauti na majirani yao.
2. Urusi ni nchi ya kontinenti mbili za Ulaya ya Mashariki na Asia; namba za wakazi na za eneo zimetasjwa kwa ajili ya sehemu ya Kiulaya pekee.
3–5. Guernsey, Kisiwa cha Man, and Jersey ni maeneo ya kujitegema chini ya Taji la Ufalme wa Uingereza.
6. Namba za Ureno hazijumlishi Visiwa vya Madeira, ambazo ni sehemu ya Ureno magharibi ya Marokko katika Afrika.
7. Namba za Hispania hazijumlishi Visiwa vya Kanari magharibi ya Marokko katika Afrika, wa maeneo ya Ceuta na Melilla ambayo ni sehemu za Hispania kwenye pwani la Marokko, Afrika ya Kaskazini.
8. Namba za Ufaransa hazijumlishi maeneo yake yaliyopo Amerika ya Kati au Kusini, Bahari Hindi au Oceania.
9. Uholanzi: Idadi ya wakazi ni ya 2004; Amsterdam ni Mji Mkuu lakini Den Haag ni makao makuuy a serikali.
10. Armenia huhesabiwa mara nyingi kuwa nchi ya kimabara katika Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) na Ulaya ya Mashariki
11. Azerbaijan huhesabiwa mara nyingi kuwa nchi ya kimabara katika Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) na Ulaya ya Mashariki; idadi ya wakazi na eneo zimetajwa za sehemu ya Ulaya pekee.
12. Cyprus huhesabiwa mara nyingi kuwa nchi ya kimabara katika Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) na Ulaya ya Kusini; idadi ya wakazi na eneo zimetajwa za sehemu zisozo chini ya Dola ya Kituruki ya Cyprus.
13. Georgia huhesabiwa mara nyingi kuwa nchi ya kimabara katika Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) na Ulaya ya Mashariki; idadi ya wakazi na eneo zimetajwa za sehemu ya Ulaya pekee.
14. Uturuki ni nchi ya kimabara katika Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) na Ulaya ya Kusini; namba zinazotajwa zinahusiana na sehemu ndogo ya Magharibi pakee iliyomo Ulaya hasa jimbo lote la Istanbul.
15. Kazakhstan huhesabiwa mara nyingi kuwa nchi ya kimabara katika Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) na Ulaya ya Mashariki; idadi ya wakazi na eneo zimetajwa za sehemu ya Ulaya pekee.
Nchi na maeneo ya Ulaya | |
---|---|
Albania | Andorra | Austria | Belarus | Bosnia na Herzegovina | Bulgaria | Kroatia | Denmark | Estonia | Ufaransa | Hungaria | Iceland | Ireland | Italia | Latvia | Liechtenstein | Lithuania | Luxemburg | Masedonia | Malta | Moldova | Monako | Norway | Poland | Romania | San Marino | Serbia na Montenegro3 | Slovakia | Slovenia | Hispania | Ubelgiji | Uceki | Ufini | Ugiriki | Ujerumani | Uholanzi | Ureno | Urusi1 | Uswidi | Uswisi | Ukraine | Uingereza | Vatikan
Maeneo ya Ulaya ya kujitawala chini ya nchi nyingine: Visiwa vya Faroe | Gibraltar | Guernsey | Jan Mayen | Jersey | Isle of Man | Svalbard Nchi za Asia ambazo ni mwanachama wa baraza la Ulaya au vyombo vingine vya Ulaya: Armenia2 | Azerbaijan1 || Cyprus2 | Georgia1 | Kazakhstan1 | Uturuki1 Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa: Abkhazia | Nagorno-Karabakh2 | Ossetia ya Kusini | Transnistria | Jamhuri ya Kituruki ya Cyprus ya Kaskazini2 Maelezo: (1) nchi ya kimabara katika Asia na Ulaya; (2) nchi katika eneo la Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) lakini kiutamaduni huhesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya; (3) Inaelekea kugawiwa kuwa nchi mbili za Serbia na Montenegro |
Categories: Ulaya | Bara