Karibu kwenye Wikipedia ya Kiswahili!
Wikipedia ni mradi wa kutunga kamusi elezo kamili na sahihi ya maandishi huru.
Kila mtu anaweza kuhariri makala yoyote, kutoa makosa ya lugha, kutohoa maneno na kuendeleza na kukuza makala, kwa kuandika kwa ufupi au kwa urefu. Angalia ukurasa wa msaada ili ujifunze unavyoweza kuhariri au kusanifisha ukurasa. Usisite kushiriki; kwa sababu huu ni mradi wa ushirikiano, na hautaisha kamwe. Kamusi elezo itaimarika vizuri zaidi kila wakati. Angalia ukurasa wa jumuia, ukurasa wa jamii, na ule wa makala za msingi za kamusi elezo ili kung'amua unaweza kufanya kazi zipi ili kuboresha Wikipedia.
Leo ni tarehe 23/12/2006, na mpaka sasa tuna makala 2,960 katika kamusi elezo hii.
• Miradi inayoshirikiana
Meta-Wikipedia - Wikidondoa - Wikivitabu - Wikichuo - Wikihabari - Wikikamusi
|