Belarus
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: -- | |||||
Wimbo wa taifa: Belarusian: Мы, беларусы (Mi Belarusi) ("Sisi Wabelarus") |
|||||
Mji mkuu | Minsk |
||||
Mji mkubwa nchini | Minsk | ||||
Lugha rasmi | Kibelarus, Kirusi | ||||
Serikali
Rais
Waziri Mkuu |
Jamhuri Alexander Lukashenko Sergey Sidorsky |
||||
Uhuru Ilitangazwa ilianzishwa ilikamilishwa |
27 Julai 1990 25 Agosti 1991 25 Desemba 1991 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
207,600 km² (ya 93) kidogo sana (183 km²)[1] |
||||
Idadi ya watu - 2005 kadirio - 1999 sensa - Msongamano wa watu |
9,755,000 (ya 8) 10,045,237 49/km² (ya 14) |
||||
Fedha | Rubel ya Belarus (BYR ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
EET (UTC+2) EEST (UTC+3) |
||||
Intaneti TLD | .by | ||||
Kodi ya simu | +375 |
Belarus (Kibelarus: Беларусь (kikyrili) au Biełaruś (kilatini); kirusi:Белоруссия ) ni nchi ya Ulaya ya Mashariki inayopakana na Urusi, Ukraine, Poland, Lithuania na Latvia. Mji mkuu ni Minsk na miji mingine ni pamoja na Brest, Grodno, Gomel, Mogilev na Vitebsk. Idadi ya wakazi ni watu 9,755,000 (2005 kad.).
[edit] Historia
Belarus haikuwahi kuwa nchi ya pekee hadi karne ya 20. Maeneo yake yalikuwa chini ya himaya mbalimbali kama Poland, Lithuania na Urusi. Belarus ilikuwa kitengo cha Umoja wa Kisovyet tangu 1919/1922 hadi 1991.
[edit] Wakazi na utamaduni
Wakazi walio wengi ni Wabelarus ambao wanaongea ama Kibelarus au Kirusi ambavyo vyote viwili ni lugha rasmi. Lugha hizi mbili zina asili ya pamoja. Takriban 11% za wakazi ni Warusi. Kuna pia vikundi vidogo vinavyotumia lugha za pekee kama vile Kipoland, Kiukraine, Kilatvia, Kiluthuania na vingine. Walio wengi ni wafuasi wa Ukristo wa Kiorthodoksi.
[edit] Viungo vya Nje
Makala hiyo kuhusu "Belarus" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Belarus kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Nchi na maeneo ya Ulaya | |
---|---|
Albania | Andorra | Austria | Belarus | Bosnia na Herzegovina | Bulgaria | Kroatia | Denmark | Estonia | Ufaransa | Hungaria | Iceland | Ireland | Italia | Latvia | Liechtenstein | Lithuania | Luxemburg | Masedonia | Malta | Moldova | Monako | Norway | Poland | Romania | San Marino | Serbia na Montenegro3 | Slovakia | Slovenia | Hispania | Ubelgiji | Uceki | Ufini | Ugiriki | Ujerumani | Uholanzi | Ureno | Urusi1 | Uswidi | Uswisi | Ukraine | Uingereza | Vatikan
Maeneo ya Ulaya ya kujitawala chini ya nchi nyingine: Visiwa vya Faroe | Gibraltar | Guernsey | Jan Mayen | Jersey | Isle of Man | Svalbard Nchi za Asia ambazo ni mwanachama wa baraza la Ulaya au vyombo vingine vya Ulaya: Armenia2 | Azerbaijan1 || Cyprus2 | Georgia1 | Kazakhstan1 | Uturuki1 Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa: Abkhazia | Nagorno-Karabakh2 | Ossetia ya Kusini | Transnistria | Jamhuri ya Kituruki ya Cyprus ya Kaskazini2 Maelezo: (1) nchi ya kimabara katika Asia na Ulaya; (2) nchi katika eneo la Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) lakini kiutamaduni huhesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya; (3) Inaelekea kugawiwa kuwa nchi mbili za Serbia na Montenegro |