Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Melilla - Wikipedia

Melilla

From Wikipedia

Ramani ya mji wa Melilla
Ramani ya mji wa Melilla

Melilla (tamka: me-li-ya; Kiarabu: مليلية meliliya; Rasmi: Ciudad Autónoma de Melilla = Mji wa kujitawala wa Mellila) ni mji wa Hispania ndani ya eneo la Moroko kwenye pwani la Mediteranea. Umbali na Hispania bara ni takriban 170 km kuvuka bahari. Mji ulio karibu upande wa Moroko ni Nador mwenye umbali wa 15 km. Pamoja na mji wa Ceuta ni kisiasa sehemu ya Hispania na Umoja wa Ulaya, kijiografia ni sehemu ya Afrika. Moroko inadai ni sehemu ya eneo lake la kitaifa.

Melilla ina wakazi 65,500 (mwaka 2005) katika eneo la 20 km². Zamani wakazi waio wengi walikuwa Wakatoliki wa asili ya Hispania pamoja na Wayahudi na Waislamu Waarabu au Waberber wenye asili ya Moroko. Miaka ya nyuma idadi ya Waislamu imeongezeka ambao wengi wao wanapendelea kujiita Waberber kuliko Waarabu; Wayahudi wamepungua sana. Inasemekana ya kwamba wakazi karibu wote wanajiangalia kuwa Wahispania kama ni Wakatoliki au Waislamu.

Uchumi unategemea uvuvi pamoja na biashara ya mpakani. Pesa rasmi ni Euro.

[edit] Historia

Historia yake ilianza zaidi ya miaka 2000 iliyopita ikaundwa kwa jina la Rusadir. Ikawa sehemu ya Dola la Roma katika jimbo la Mauretania Tingitana. Eneo lake lilipiganiwa kuanzia mwaka 429 BK kati ya wavamiaji Wavandali na Bizanti. Karibu kabla ya mwaka 700 BK Waarabu Waislamu walivamia eneo la pwani al Moroko wakielekea Hispania. Mji ulipata jina la Meliliya ukabaki chini ya utawala wa kiislamu hadi mwaka 1497 ulipotekwa na Wahispania. Wahispania walifaulu kubaki na mji katika vita mbalimbali za karne zilizofuata. Mwaka 1936 vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Hispania ilianza Melilla kwa uasi wa wanajeshi dhidi ya serikali ya Jamhuri ya Hispania.

Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia
Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com