Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Italia - Wikipedia

Italia

From Wikipedia

Repubblica Italiana
Jamhuri ya Italia
Bendera ya Italia Nembo la  Italia
Lugha rasmi Kiitalia; kijimbo pia Kijerumani, Kifaransa, Kiladino, Kislovenia, Kisardinia
Mji Mkuu Roma
Rais Giorgio Napolitano
Waziri Mkuu Romano Prodi
Eneo 301.336 km²
Wakazi 58.679.441 (2005)
Wakazi kwa km² 193
JPT 25.593 US-$ (2004)
Pesa Euro
Wakati UTC+1
Wimbo la Taifa Fratelli d'Italia (Ndugu Waitalia)
Sikukuu ya Jamhuri 2. Juni
Sikukuu ya Taifa 25. Aprili
Simu ya kimataifa +39
Italia katika Ulaya
Italia katika Ulaya
Ramani ya Italia
Ramani ya Italia
Italia jinsi inavyonekana kutoka angani
Italia jinsi inavyonekana kutoka angani


Italia ni nchi ya Ulaya Kusini. Umbo lake linafanana na mguu linalozungukwa na maji ya Mediteraneo pande tatu. Imepakana na Ufaransa, Uswisi, Austria na Slovenia. Nchi mbili ndogo ndani ya eneo la Italia ni San Marino na Dola la Vatikano. Visiwa viwili vikubwa vya Sicilia na Sardinia ni sehemu za Italia pamoja na visiwa vidogovidogo. Eneo la nchi ni 301.336 km² kuna wakazi 58.679.441 (2005). Italia ni nchi iliyoendelea ikiwa na nafasi ya sita ya nguvu ya kiuchumi duniani kufuatana na JPT yake. Ni kati ya nchi sita zilizoanzisha Umoja wa Ulaya mwaka 1957.

Pia ni nchi yenye mahali pengi (40) pa kihistoria palipoingizwa katika orodha ya UNESCO ya "Urithi wa Dunia".

Image:WikiLettreMini.png Makala hiyo kuhusu "Italia" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Italia kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.


Nchi za Umoja wa Ulaya Bendera ya Umoja wa Ulaya
Austria | Cyprus | Denmark | Estonia | Finland | Hungaria | Ireland | Italia | Latvia | Lithuania | Luxemburg | Malta | Poland | Slovakia | Slovenia | Hispania | Sweden | Ubelgiji | Uceki | Ufaransa | Ugiriki | Uholanzi | Uingereza| Ujerumani | Ureno
Nchi zinazoandaa uanachama: Bulgaria | Romania


Nchi na maeneo ya Ulaya
Albania | Andorra | Austria | Belarus | Bosnia na Herzegovina | Bulgaria | Kroatia | Denmark | Estonia | Ufaransa | Hungaria | Iceland | Ireland | Italia | Latvia | Liechtenstein | Lithuania | Luxemburg | Masedonia | Malta | Moldova | Monako | Norway | Poland | Romania | San Marino | Serbia na Montenegro3 | Slovakia | Slovenia | Hispania | Ubelgiji | Uceki | Ufini | Ugiriki | Ujerumani | Uholanzi | Ureno | Urusi1 | Uswidi | Uswisi | Ukraine | Uingereza | Vatikan

Maeneo ya Ulaya ya kujitawala chini ya nchi nyingine: Visiwa vya Faroe | Gibraltar | Guernsey | Jan Mayen | Jersey | Isle of Man | Svalbard

Nchi za Asia ambazo ni mwanachama wa baraza la Ulaya au vyombo vingine vya Ulaya: Armenia2 | Azerbaijan1 || Cyprus2 | Georgia1 | Kazakhstan1 | Uturuki1

Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa: Abkhazia | Nagorno-Karabakh2 | Ossetia ya Kusini | Transnistria | Jamhuri ya Kituruki ya Cyprus ya Kaskazini2

Maelezo: (1) nchi ya kimabara katika Asia na Ulaya; (2) nchi katika eneo la Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) lakini kiutamaduni huhesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya; (3) Inaelekea kugawiwa kuwa nchi mbili za Serbia na Montenegro

Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com