Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Hispania - Wikipedia

Hispania

From Wikipedia

Template:Lang
Ufalme wa Hispania
Flag of Hispania Nembo ya Hispania
Bendera Nembo
Wito la taifa: Plus Ultra
(Kilatini kwa "Mbele na zaidi")
Wimbo wa taifa: Marcha Real au Marcha Granadera
Lokeshen ya Hispania
Mji mkuu Madrid
40°26′ N 3°42′ W
Mji mkubwa nchini Madrid
Lugha rasmi Kihispania(1)
Serikali
Mfalme
Waziri Mkuu
Ufalme wa kikatiba
Juan Carlos I
José Luis Rodríguez Zapatero
Kuungana kwa nchi
Kungana kwa ndoa za wafalme
Maungano
Hali halisi
Kisheria

1516

1716
1812
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
504,782 km² (ya 50)
1.04%
Idadi ya watu
 - Januari 2006 (kadirio rasmi) kadirio
 - 2001 sensa
 - Msongamano wa watu
 
44.395.286 (ya 29)
40,847,371
87.8/km² (ya 106)
Fedha Euro (€)(2) (EUR)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
CETTemplate:Fn (UTC+1)
CEST (UTC+2)
Intaneti TLD .es
Kodi ya simu +34
Template:Fnb Majimbo ya kujitawala ya Hispania yanatumia lugha za: Kikatalan/Kivalencia, Kibaski na Kigalicia pamoja na Kihispania. Katika Bonde la Val d'Aran lahaja ya Kiarani ya lugha ya Kioksitani ni lugha rasmi pamoja na Kihispania; Template:Fnb Hadi 1999: Peseta
Template:Fnb Ispokuwa Visiwa vya Kanari
Ramani ya Hispania
Ramani ya Hispania

Hispania ni nchi ya Ulaya ya kusini-magharibi. Imepakana na Ufaransa, Andorra, Ureno na eneo la Kiingereza la Gibraltar. Kuna pwani ndefu ya Bahari ya Mediteranea na pia ya Atlantiki. Visiwa vya Baleari kwenye Mediteranea na Visiwa vya Kanari katika Atlantiki pamoja na miji ya Afrika ya Kaskazini Ceuta na Melilla ni sehemu za Hispania.

Mji mkuu ni Madrid ambayo ni pia mji mkubwa wa nchi. Eneo la nchi ni 500,000 km² kuna wakazi milioni 40.

Lugha rasmi ni Kihispania lakini majimbo 17 yamepewa ya kujitawala katika mambo mbalimbali pamoja na siasa ya kiutamaduni hivyo lugha za Kikatalan, Kivalencia, Kibaski na Kigalicia zimekuwa lugha rasmi za kijimbo pamoja na Kihispania.

Wahispania walio wengi ni wafuasi wa kanisa Katoliki.

Muundo wa serikali ni Ufalme wa Kikatiba. Mfalme Juan Carlos I amevaa taji tangu mwaka 1978. Anaheshimiwa sana kwa sababu aliongoza taifa katika mabadiliko ya kutoka katika udikteta wa jenerali Francisco Franco kuelekea demokrasia. Hasa tendo la mfalme la kuzuia mapinduzi wa kijeshi linakumbukwa sana. Lakini kisheria madaraka yake ni madogo.

Utawala uko mkononi mwa serikali inayochaguliwa na bunge. Bunge laitwa "Las Cortes likichaguliwa katika kura ya kidemokrasia.

Contents

[edit] Historia

[edit] Historia ya kwanza

Wakazi wa kwanza waliojulikana kwa jina kuwa waliishi Hispania walikuwa Wakelti. Katika karne za kwanza KK Wafinisia walianzisha miji na kuchimba madini hasa shaba na fedha.

[edit] Waroma

Waroma wa Kale walivamia na kutawala Hispania kwa karne wakileta lugha yao ya Kilatini kilichokuwa msingi wa lugha za kisasa za Hispania. Kibaski pekee si lugha ya Kirumi.

Katika karne ya tano makabila ya Kigermanik walivamia Dola la Roma pamoja na Hispania. Wavandali na Wavisigothi walitawala juu ya sehemu kubwa ya Hispania.

[edit] Waarabu

Tangu mwaka 711 jeshi la Waarabu Waislamu liliingia kutoka Afrika ya Kaskazini na kutwaa sehemu kubwa za Hispania. Walipanuka karibu hadi milima ya Pirenei lakini watawala wa maeneo kadhaa katika kaskazini walijitetea na kufaulu kushika uhuru wao. Waarabu walileta fani nyingi za maendeleo nchini.

Katika kipindi cha vita za karne nyingi Wakristo wa Kaskazini walifaulu polepole kuwarudisha Waarabu hadi kusini ya nchi. Mwaka 1492 mfalme Boabdil wa Grenada mji wa mwisho wa Waarabu alishindwa na mfalme Ferdinand II wa Aragon na malkia Isabella wa Kastilia.

[edit] Koloni za Amerika

Wiki chache kabla ya kushinda huko Granada wafalme wa Hispania walimkubali nahodha Kristoforo Kolumbus na kumpa kibali cha kutafuta njia ya kufika Bara Hindi. Badala ya kufika India Kolumbus alifika kwenye visiwa vya Amerika ya Kati.

Hii ilikuwa mwanzo wa upanuzi wa Hispania katika "Dunia Mpya" ya Amerika. Wahispania walijenga dola kubwa ya kikoloni na kutwaa karibu Amerika ya Kusini yote pamoja na Amerika ya Kati na Mexiko hadi sehemu za kusini za Marekani ya leo.

Katika miaka mia tatu iliyofuata Hispania ilitajirika sana kutoka utajiri wa Amerika.

(ya kuendelea)

[edit] Miji mikubwa

  • Madrid ni mji mkuu - wakazi 3,200,000.
  • Barcelona - wakazi 1,600,000
  • Valencia - wakazi 800,000.
  • Seville - wakazi 705,000.
  • Zaragoza katika Aragon- wakazi 650,000.
  • Malaga katika Andalucia - wakazi 560,000.
  • Murcia katika bonde la Segura - wakazi 410,000.
  • Las Palmas de Gran Canaria ni mji mkuu wa Visiwa vya Kanari - wakazi 378,000.
  • Palma de Mallorca kwenye Visiwa vya Baleari - wakazi 375,000.
  • Bilbao ya Ubaski katika kaskazini - wakazi 350,000.

[edit] Picha za Hispania



Nchi na maeneo ya Ulaya
Albania | Andorra | Austria | Belarus | Bosnia na Herzegovina | Bulgaria | Kroatia | Denmark | Estonia | Ufaransa | Hungaria | Iceland | Ireland | Italia | Latvia | Liechtenstein | Lithuania | Luxemburg | Masedonia | Malta | Moldova | Monako | Norway | Poland | Romania | San Marino | Serbia na Montenegro3 | Slovakia | Slovenia | Hispania | Ubelgiji | Uceki | Ufini | Ugiriki | Ujerumani | Uholanzi | Ureno | Urusi1 | Uswidi | Uswisi | Ukraine | Uingereza | Vatikan

Maeneo ya Ulaya ya kujitawala chini ya nchi nyingine: Visiwa vya Faroe | Gibraltar | Guernsey | Jan Mayen | Jersey | Isle of Man | Svalbard

Nchi za Asia ambazo ni mwanachama wa baraza la Ulaya au vyombo vingine vya Ulaya: Armenia2 | Azerbaijan1 || Cyprus2 | Georgia1 | Kazakhstan1 | Uturuki1

Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa: Abkhazia | Nagorno-Karabakh2 | Ossetia ya Kusini | Transnistria | Jamhuri ya Kituruki ya Cyprus ya Kaskazini2

Maelezo: (1) nchi ya kimabara katika Asia na Ulaya; (2) nchi katika eneo la Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) lakini kiutamaduni huhesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya; (3) Inaelekea kugawiwa kuwa nchi mbili za Serbia na Montenegro

Image:WikiLettreMini.png Makala hiyo kuhusu "Hispania" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Hispania kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Lugha nyingine
Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com