Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Norwei - Wikipedia

Norwei

From Wikipedia

Kongeriket Norge
Kongeriket Noreg

Ufalme wa Norwei
Flag of Norwei Nembo ya Norwei
Bendera Nembo
Wito la taifa: Alt for Norge ("Yote kwa Norwei" ni wito wa kifalme)
Kiapo kufuatana na katiba ya 1814 : "Enige og tro til Dovre faller" ("Pamoja na waaminifu hadi milima ya Dovre inaporomoka")
Wimbo wa taifa: Ja, vi elsker dette landet
Wimbo la kifalme: Kongesangen
Lokeshen ya Norwei
Mji mkuu Oslo
59°56′ N 10°41′ E
Mji mkubwa nchini Oslo
Lugha rasmi Kinorwei1
(Bokmål na Nynorsk)
Serikali
Mfalme
Waziri Mkuu
Ufalme wa kikatiba
Harald V
Jens Stoltenberg
Katiba
Uhuru
Ilitangazwa
Ilitambuliwa

Kutoka maungano na Uswidi
7 Juni 1905
26 Octoba 1905
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
306,253 km² (ya 613)
{{{percent_water}}}
Idadi ya watu
 - 2006 kadirio
 - 2001 sensa
 - Msongamano wa watu
 
4,667,410 [1] (ya 114)
4,520,947
12/km² (ya 202)
Fedha Krone ya Norwei (NOK)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
CET (UTC+1)
CEST (UTC+2)
Intaneti TLD .no2
Kodi ya simu +47
1Lugha rasmi ya Kinorwei inapatikana kwa namna mbili; bokmål zaidi kama lugha ya kimaandishi na Nynorsk zaidi kama lugha ya majadiliano ingawa inaandikwa pia. Lugha ya Kisami ni lugha rasmi katika miji 6 na Kifinland katika mji mmoja.

Norwei ni nchi ya Skandinavia katika Ulaya ya Kaskazini. Imepakana na Uswidi, katika kaskazini yake pia na Ufini (Finland) na Urusi. Ina pwani ndefu na bahari ya Bahari ya Kaskazini na Atlantiki. Mji mkuu ni Oslo.

Visiwa vya Svalbard na Jan Mayen katika bahari ya Aktika ni maeneo chini ya Norwei. Pis visiwa visivyokaliwa na watu vya Bouvet Island katika Atlantiki ya kusini na Peter I Island katika Pasifiki ya kusini ni maeneo chini ya Norwei inayodai pia sehemu ya Queen Maud Land barani Antaktika penye kituo cha kisayansi cha Troll.

[edit] Uchumi

Norwei ilikuwa nchi maskini ya wakulima na wavuwi lakini tangu kupatikana kwa mafuta ya Petroli baharini imekuwa kati ya nchi tajiri kabisa duniani.


Nchi na maeneo ya Ulaya
Albania | Andorra | Austria | Belarus | Bosnia na Herzegovina | Bulgaria | Kroatia | Denmark | Estonia | Ufaransa | Hungaria | Iceland | Ireland | Italia | Latvia | Liechtenstein | Lithuania | Luxemburg | Masedonia | Malta | Moldova | Monako | Norway | Poland | Romania | San Marino | Serbia na Montenegro3 | Slovakia | Slovenia | Hispania | Ubelgiji | Uceki | Ufini | Ugiriki | Ujerumani | Uholanzi | Ureno | Urusi1 | Uswidi | Uswisi | Ukraine | Uingereza | Vatikan

Maeneo ya Ulaya ya kujitawala chini ya nchi nyingine: Visiwa vya Faroe | Gibraltar | Guernsey | Jan Mayen | Jersey | Isle of Man | Svalbard

Nchi za Asia ambazo ni mwanachama wa baraza la Ulaya au vyombo vingine vya Ulaya: Armenia2 | Azerbaijan1 || Cyprus2 | Georgia1 | Kazakhstan1 | Uturuki1

Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa: Abkhazia | Nagorno-Karabakh2 | Ossetia ya Kusini | Transnistria | Jamhuri ya Kituruki ya Cyprus ya Kaskazini2

Maelezo: (1) nchi ya kimabara katika Asia na Ulaya; (2) nchi katika eneo la Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) lakini kiutamaduni huhesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya; (3) Inaelekea kugawiwa kuwa nchi mbili za Serbia na Montenegro

Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com