Slovenia
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: {{{national_motto}}} | |||||
Wimbo wa taifa: Zdravljica | |||||
Mji mkuu | Ljubljana |
||||
Mji mkubwa nchini | Ljubljana | ||||
Lugha rasmi | Kislovenia, Kiitalia1, Kihungaria1 | ||||
Serikali
Rais
|
Jamhuri Janez Drnovšek |
||||
Uhuru imetangazwa |
25. Juni 1991 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
20,273 km² (ya 154) 0.6% |
||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - 2002 sensa - Msongamano wa watu |
1,967,000 (ya 145) 1,964,036 99/km² (ya 100) |
||||
Fedha | Tolar2 (SIT ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) CEST (UTC+2) |
||||
Intaneti TLD | .si | ||||
Kodi ya simu | +386 |
||||
1 Katika miji penye watu wengi wa utamaduni wa Kiitalia au Kihungaria. 2 Itabadilishwa na Euro (EUR) tarehe 1.1.2007. |
Slovenia ni nchi ndogo ya Ulaya ya Kati kusini ya milima ya Alpi. Imepakana na Italia, ghuba ya Adria ya Mediteranea, Kroatia, Hungaria na Austria. Mji mkuu pia mji mkubwa ni Ljubljana.
A very long time ago, Slovenia was lived in by Illyrian and Celtic people. In the first century BC Slovenia was ruled by Rome. In the sixth century AD, Slavs lived there. Slovenia was ruled by Austria from 1335 until 1918. In 1918 it became a part of Yugoslavia. During World War II, Italy, Hungary and Germany took parts of the country but in 1945 it became part of Yugoslavia again.
In June 1991, following a 10-day war, Slovenia became an independent country.
Nowadays it is considered the strongest country from Ex-Yugoslavia.
Watu wake ni Waslovenia wenye lugha ya Kislavi ya kusini. Waslavi walihamia Slovenia ya leo katika karne ya 6 BK. Tangu zamani waliishi chini ya utawala wa madola mbalomblai kama vile Dola la Roma, Austria na Yugoslavia hadi kupata uhuru wa kisiasa mara ya kwanza kabisa mwaka 1991 baada ya mwisho wa Shirikisho la Yugoslavia.
Kati ya nchi zote zilizotokana na Yugoslavia ya zamani Slovenia ni nchi yenye uchumi imara.
Makala hiyo kuhusu "Slovenia" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Slovenia kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |