Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Uingereza - Wikipedia

Uingereza

From Wikipedia

Uingereza ni neno linaloweza kutaja maana mbalimbali:

  • nchi ya Uingereza (England) katika kusini ya kisiwa cha Britania ambayo ni sehemu ya Ufalme wa Maungano
  • Kisiwa cha Britania (Great Britain) ambacho ni kisiwa kikubwa cha Ulaya chenye nchi tatu za Uingereza, Uskoti na Welisi
  • dola la Ufalme wa Maungano ya Britania na Ueire ya Kaskazini (United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland)
  • kihistoria ufalme wa Uingereza katika nchi hii hadi kuunganishwa na Uskoti mwaka 1701
  • katika lugha ya kila siku maana yoyote iliyotajwa hapo juu


Tanbihi:

  • Redio Tanzania imependekeza neno moja la "Uingereza“ kwa ajili ya maana yote tatu
  • TUKI imependekeza maneno mawili ya Uingereza (kwa nchi pia kwa ajili ya Ufalme wa Maungano) na Briteni (kwa ajili ya kisiwa); lakini "Briteni“ ina matatizo kwa maandishi ya kihistoria na kijiografia kwa sababu inafanana mno na jina la "Brittany“ au "Bretagne“.
  • Makala hii inajaribu kutumia neno la "Britania“ na kusubiri michango ya wanawikipedia.
Image:WikiLettreMini.png Makala hiyo kuhusu "Uingereza" inatumia neno ambalo matumizi yake ni jaribio kwa jambo linalotajwa.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazionyeshi maana inayohitajiwa.

Lugha nyingine
Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com