Albania
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Feja e Shqiptarit eshte Shqiptaria (Kialbania: "Imani wa Walbania ni Ualbania") | |||||
Wimbo wa taifa: Hymni i Flamurit ("Wimbo kwa bendera") |
|||||
Mji mkuu | Tirana |
||||
Mji mkubwa nchini | Tirana | ||||
Lugha rasmi | Kialbania | ||||
Serikali
Rais
Waziri Mkuu |
demokrasia Alfred Moisiu Sali Berisha |
||||
Uhuru Tarehe |
28 Novemba 1912 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
28 748 km² (ya 139) 4.7% |
||||
Idadi ya watu - 2006 kadirio - Msongamano wa watu |
3,581,655 (ya 134) 123/km²/km² (63) |
||||
Fedha | Lek (ALL ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) CEST (UTC+2) |
||||
Intaneti TLD | .al | ||||
Kodi ya simu | +355 |
Jamhuri ya Albania ni nchi ya Ulaya Kusini Mashariki. Imepakana na Montenegro, Serbia (jimbo la Kosovo), Jamhuri ya Masedonia na Ugiriki. Upande wa magharibi kuna pwani la ghuba ya Adria ya Mediterena.
Kuna wakazi milioni nne. Mji mkuu ni Tirana. Zaidi ya 90% za wakazi hutumia lahaja za Kialbania ambacho ni lugha ya pekee kati ya lugha za Kihindi-kiulaya.
Albania ni kati ya nchi maskini zaidi za Ulaya. Kati 1945 hadi 1990 ilitawaliwa na chama cha kikomunisti iliyotangaza Albania kuwa nchi ya kwanza ya kiatheisti iliyopiga marufuku kila aina ya dini.
Makala hiyo kuhusu "Albania" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Albania kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Nchi na maeneo ya Ulaya | |
---|---|
Albania | Andorra | Austria | Belarus | Bosnia na Herzegovina | Bulgaria | Kroatia | Denmark | Estonia | Ufaransa | Hungaria | Iceland | Ireland | Italia | Latvia | Liechtenstein | Lithuania | Luxemburg | Masedonia | Malta | Moldova | Monako | Norway | Poland | Romania | San Marino | Serbia na Montenegro3 | Slovakia | Slovenia | Hispania | Ubelgiji | Uceki | Ufini | Ugiriki | Ujerumani | Uholanzi | Ureno | Urusi1 | Uswidi | Uswisi | Ukraine | Uingereza | Vatikan
Maeneo ya Ulaya ya kujitawala chini ya nchi nyingine: Visiwa vya Faroe | Gibraltar | Guernsey | Jan Mayen | Jersey | Isle of Man | Svalbard Nchi za Asia ambazo ni mwanachama wa baraza la Ulaya au vyombo vingine vya Ulaya: Armenia2 | Azerbaijan1 || Cyprus2 | Georgia1 | Kazakhstan1 | Uturuki1 Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa: Abkhazia | Nagorno-Karabakh2 | Ossetia ya Kusini | Transnistria | Jamhuri ya Kituruki ya Cyprus ya Kaskazini2 Maelezo: (1) nchi ya kimabara katika Asia na Ulaya; (2) nchi katika eneo la Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) lakini kiutamaduni huhesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya; (3) Inaelekea kugawiwa kuwa nchi mbili za Serbia na Montenegro |