Romania
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: -- | |||||
Wimbo wa taifa: Deşteaptă-te, române! | |||||
Mji mkuu | Bukarest (Bucureşti) |
||||
Mji mkubwa nchini | Bukarest | ||||
Lugha rasmi | Kiromania | ||||
Serikali
Rais
Waziri Mkuu |
Jamhuri Traian Băsescu Călin Popescu-Tăriceanu |
||||
Uhuru Ilitangazwa ilitambiluwa |
9 Mei 1877 (Kalenda ya Juliasi)2 13 Julai 18783 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
238,391 km² (ya 82) 3 |
||||
Idadi ya watu - Julai 2006 kadirio - 2002 sensa - Msongamano wa watu |
22,303,552 (ya 50) 21,680,974 91/km² (ya 104) |
||||
Fedha | Leu (RON ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
EET (UTC+2) EEST (UTC+3) |
||||
Intaneti TLD | .ro | ||||
Kodi ya simu | +40 |
||||
1Lugha kama Kihungaria, Kijerumani, Kiromani, Kiukraine na Kiserbia hutumiwa kieneo kwenye ngazi kadhaa 2 Vita ya uhuru wa Romania. |
Romania (Kiromania: România ni nchi ya Ulaya ya kusini-mashariki. Imepakana na Hungaria, Serbia, Ukraine, Moldova na Bulgaria. Kuna pwani kwenye Bahari Nyeusi. Romania ina wakazi milioni 23 katika eneo la 238.391 km², mji mkuu ni Bukarest.
Lugha ya nchi ni Kiromania ambayo ni lugha ya Kirumi kama Kifaransa, Kiitalia na Kihispania.
Makala hiyo kuhusu "Romania" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Romania kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Nchi na maeneo ya Ulaya | |
---|---|
Albania | Andorra | Austria | Belarus | Bosnia na Herzegovina | Bulgaria | Kroatia | Denmark | Estonia | Ufaransa | Hungaria | Iceland | Ireland | Italia | Latvia | Liechtenstein | Lithuania | Luxemburg | Masedonia | Malta | Moldova | Monako | Norway | Poland | Romania | San Marino | Serbia na Montenegro3 | Slovakia | Slovenia | Hispania | Ubelgiji | Uceki | Ufini | Ugiriki | Ujerumani | Uholanzi | Ureno | Urusi1 | Uswidi | Uswisi | Ukraine | Uingereza | Vatikan
Maeneo ya Ulaya ya kujitawala chini ya nchi nyingine: Visiwa vya Faroe | Gibraltar | Guernsey | Jan Mayen | Jersey | Isle of Man | Svalbard Nchi za Asia ambazo ni mwanachama wa baraza la Ulaya au vyombo vingine vya Ulaya: Armenia2 | Azerbaijan1 || Cyprus2 | Georgia1 | Kazakhstan1 | Uturuki1 Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa: Abkhazia | Nagorno-Karabakh2 | Ossetia ya Kusini | Transnistria | Jamhuri ya Kituruki ya Cyprus ya Kaskazini2 Maelezo: (1) nchi ya kimabara katika Asia na Ulaya; (2) nchi katika eneo la Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) lakini kiutamaduni huhesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya; (3) Inaelekea kugawiwa kuwa nchi mbili za Serbia na Montenegro |