Slovakia
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: -- | |||||
Wimbo wa taifa: Nad Tatrou sa blýska ("Radi juu ya milima ya Tatra") |
|||||
Mji mkuu | Bratislava |
||||
Mji mkubwa nchini | Bratislava | ||||
Lugha rasmi | Kislovakia | ||||
Serikali
Rais
Waziri Mkuu |
Democrasia Ivan Gašparovič Robert Fico |
||||
Uhuru kutoka Chekoslovakia |
tarehe 1 Januari 1993 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
49,037 km² (ya 130) -- |
||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - 2001 sensa - Msongamano wa watu |
5,401,000 (ya 110) 5,379,455 111/km² (ya 88) |
||||
Fedha | Slovak koruna (1 koruna = 100 haliers) (SKK ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) CEST (UTC+2) |
||||
Intaneti TLD | .sk2 | ||||
Kodi ya simu | +4213 |
Slovakia (Kislovakia: Slovensko) ni nchi ya Ulaya ya Kati yenye wakazi milioni tano na nusu. Imepakana na Ucheki, Austria, Poland, Ukraine na Hungaria. Mji mkubwa na mji mkuu ni Bratislava. Slovakia imekuwa nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya tangu 1Mei 2004.
Miji muhimu baada ya Bratislava ni Košice, Banská Bystrica, Žilina, Trenčín, Nitra, Prešov na Trnava.
Wakazi walio wengi wanasema Kislovakia lakini kieneo kuna pia wasemaji wa Kihungaria, Kibelarus na Kiukraine.
[edit] Historia
Kwa sehemu kubwa ya historia yake hadi 1918 Slovakia ilikuwa chini ya watawala wa Habsburg waliokuwa wafalme na makaisari wa Austria. Baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia Slovakia ilipata uhuru pamoja na Ucheki katika nchi ya Chekoslovakia. Mwaka 1993 Ucheki na Slovakia ziliachana na kuwa nchi ya pekee kila moja.
Makala hiyo kuhusu "Slovakia" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Slovakia kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Nchi na maeneo ya Ulaya | |
---|---|
Albania | Andorra | Austria | Belarus | Bosnia na Herzegovina | Bulgaria | Kroatia | Denmark | Estonia | Ufaransa | Hungaria | Iceland | Ireland | Italia | Latvia | Liechtenstein | Lithuania | Luxemburg | Masedonia | Malta | Moldova | Monako | Norway | Poland | Romania | San Marino | Serbia na Montenegro3 | Slovakia | Slovenia | Hispania | Ubelgiji | Uceki | Ufini | Ugiriki | Ujerumani | Uholanzi | Ureno | Urusi1 | Uswidi | Uswisi | Ukraine | Uingereza | Vatikan
Maeneo ya Ulaya ya kujitawala chini ya nchi nyingine: Visiwa vya Faroe | Gibraltar | Guernsey | Jan Mayen | Jersey | Isle of Man | Svalbard Nchi za Asia ambazo ni mwanachama wa baraza la Ulaya au vyombo vingine vya Ulaya: Armenia2 | Azerbaijan1 || Cyprus2 | Georgia1 | Kazakhstan1 | Uturuki1 Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa: Abkhazia | Nagorno-Karabakh2 | Ossetia ya Kusini | Transnistria | Jamhuri ya Kituruki ya Cyprus ya Kaskazini2 Maelezo: (1) nchi ya kimabara katika Asia na Ulaya; (2) nchi katika eneo la Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) lakini kiutamaduni huhesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya; (3) Inaelekea kugawiwa kuwa nchi mbili za Serbia na Montenegro |