Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Ucheki - Wikipedia

Ucheki

From Wikipedia

Česká republika; Česko
Jamhuri ya Kicheki
Flag of Ucheki Nembo ya Ucheki
Bendera Nembo
Wito la taifa: Pravda vítězí
(Kiceki: "Ukweli hushinda")
Wimbo wa taifa: Kde domov můj
Lokeshen ya Ucheki
Mji mkuu Praha
50°05′ N 14°28′ E
Mji mkubwa nchini Praha
Lugha rasmi Kicheki
Serikali
Rais
Waziri Mkuu
Jamhuri
Václav Klaus
Mirek Topolánek
'
Kutokea kwa taifa
Uhuru
kutoka Austria-Hungaria
Mwisho wa Chekoslovakia

Karne ya 9 (Dola la Moravia)
28 Oktoba 1918

1 Januari, 1993
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
78,866 km² (ya 117)
2.0
Idadi ya watu
 - 2006 kadirio
 - 2001 sensa
 - Msongamano wa watu
 
10,265,231 (ya 78)
10,230,060
130/km² (ya 77)
Fedha Koruna (CZK)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
CET (UTC+1)
CEST (UTC+2)
Intaneti TLD .cz 3
Kodi ya simu +4201
Ramani ya Ucheki
Ramani ya Ucheki

Jamhuri ya Kicheki (Kicheki:Česká republika) ni nchi ya Ulaya ya Kati na mwanachama wa Umoja wa Ulaya. Imepakana na Poland, Ujerumani, Austria na Slovakia. Mji mkuu ni Praha (Kijer.: Prag; Kiing.: Praha).

Miji mingine mikubwa ni Brno, Ostrava, Zlín, Plzeň, Pardubice, Hradec Králové, České Budějovice, Liberec, Olomouc na Ústí nad Labem.

Tangu zamani nchi imekuwa na kanda mbili za Bohemia na Moravia.

Wakazi husema hasa Kicheki ambacho ni lugha ya Kislavoni ya Magharibi.

[edit] Historia

Kwa sehemu kubwa ya historia yake hadi 1918 Ucheki ilikuwa chini ya watawala wa Habsburg waliokuwa wafalme na makaisari wa Austria. Baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia Ucheki ilipata uhuru pamoja na Slovakia katika nchi ya Chekoslovakia. Mwaka 1993 Ucheki na Slovakia ziliachana na kuwa nchi ya pekee kila moja.


[edit] Viungo vya Nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Image:WikiLettreMini.png Makala hiyo kuhusu "Ucheki" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Ucheki kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.


Nchi na maeneo ya Ulaya
Albania | Andorra | Austria | Belarus | Bosnia na Herzegovina | Bulgaria | Kroatia | Denmark | Estonia | Ufaransa | Hungaria | Iceland | Ireland | Italia | Latvia | Liechtenstein | Lithuania | Luxemburg | Masedonia | Malta | Moldova | Monako | Norway | Poland | Romania | San Marino | Serbia na Montenegro3 | Slovakia | Slovenia | Hispania | Ubelgiji | Uceki | Ufini | Ugiriki | Ujerumani | Uholanzi | Ureno | Urusi1 | Uswidi | Uswisi | Ukraine | Uingereza | Vatikan

Maeneo ya Ulaya ya kujitawala chini ya nchi nyingine: Visiwa vya Faroe | Gibraltar | Guernsey | Jan Mayen | Jersey | Isle of Man | Svalbard

Nchi za Asia ambazo ni mwanachama wa baraza la Ulaya au vyombo vingine vya Ulaya: Armenia2 | Azerbaijan1 || Cyprus2 | Georgia1 | Kazakhstan1 | Uturuki1

Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa: Abkhazia | Nagorno-Karabakh2 | Ossetia ya Kusini | Transnistria | Jamhuri ya Kituruki ya Cyprus ya Kaskazini2

Maelezo: (1) nchi ya kimabara katika Asia na Ulaya; (2) nchi katika eneo la Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) lakini kiutamaduni huhesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya; (3) Inaelekea kugawiwa kuwa nchi mbili za Serbia na Montenegro

Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com