Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Roma - Wikipedia

Roma

From Wikipedia

Roma (pia: Rumi) ni jina la mji wa Roma (mji mkuu wa Italia) ama jina la dola la Roma lililokuwa dola kubwa zamani.

[edit] Roma au Rumi?

Roma ni umbo la jina katika Kilatini na Kiitalia; imekuwa kawaida katika Kiswahili cha kisasa. "Rumi" ilikuwa kawaida katika Kiswahili cha zamani kutokana na kawaida ya lugha ya Kiarabu (الرُّومُ ar-Rūm). Matoleo ya Biblia ya "Union Version" iliyochapishwa tangu 1952 hutumia "Rumi", "Warumi". Tafsiri ya Biblia ya Kiswahili cha Kisasa hutumia "Roma", "Waroma".

  • Mji wa Roma, jina la mji mkuu wa nchi ya Italia
  • Dola la Roma, dola kubwa katika eneo la Mediteraneo (Ulaya, Asia ya Magharibi, Afrika ya Kaskazini) mnamo miaka 2100-1600 iliyopita. Limeendelea katika Dola ya Roma ya Mashariki au Bizanti hadi mwaka 1453 b.K.
  • Roma ilikuwa jina la mungu wa kike katika dini ya Roma ya Kale
  • Miji mingine inayoitwa kwa jina la "Roma" iko Australia, Ecuador na Marekani; pia eneo ndani ya mji wa Mexiko.
  • Kutokana na jina la mji yamepatikana majina ya:
    • Roma, meli ya kijeshi ya Italia;
    • Roma ni jina la filamu mbalimbali;
  • Roma ya Kale
Ukarasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja.

Chagua maana uliyoikusudi.

Maelezo katika ukarasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukarasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.

Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com