Ugiriki
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Ελευθερία ή Θάνατος (Eleftheria i thanatos - "Uhuru au mauti") |
|||||
Wimbo wa taifa: Ύμνος εις την Ελευθερίαν - "Wimbo la Uhuru" | |||||
Mji mkuu | Athens |
||||
Mji mkubwa nchini | Athens | ||||
Lugha rasmi | Greek | ||||
Serikali
Rais
Waziri Mkuu |
Jamhuri Karolos Papoulias Kostas Karamanlis |
||||
Uhuru Ilitangazwa Ilitambuliwa |
25 Machi 1821 1829 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
131,990 km² (ya 96) 0.8669 |
||||
Idadi ya watu - 2005 kadirio - 2001 sensa - Msongamano wa watu |
11,244,118 (ya 74) 10,964,020 84/km² (ya 108) |
||||
Fedha | Euro (€)2 (EUR ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
EET (UTC+2) EEST (UTC+3) |
||||
Intaneti TLD | .gr 3 | ||||
Kodi ya simu | +30 |
||||
1 Wananchi walikataza kurudi kwa ufalme tar. 8 Desemba 1974. 2 Prior to 2001: Greek Drachma. |
Ugiriki (pia: Uyunani; kigir.: Ελλάδα (elada) au Ελλάς (elas) ni nchi ya Ulaya Kusini-Mashariki katika kusini ya rasi ya Balkani. Imepakana na Bulgaria, Jamhuri ya Masedonia, Albania na Uturuki. Upande wa kusini-magharibi na kusini-mashariki kuna pwani ndefu na Bahari ya Mediteranea. Baharini kuna visiwa vingi sana mabavyo ni sehemu za Ugiriki.
Ugiriki ni nchi yenye historia ndefu na maarufu sana inaitwa "nchi mama ya Ulaya".
Lugha ya Kigiriki inaendelea kuandikwa kwa Alfabeti ya Kigiriki inaotumiwa tangu miaka 3000 lakini lugha yenyewe imebadilika. Wagiriki wa leo hawaelewi tena Kigiriki cha Kale moja kwa moja.
Ugiriki ni nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya tangu 1981.
Makala hiyo kuhusu "Ugiriki" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Ugiriki kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Nchi na maeneo ya Ulaya | |
---|---|
Albania | Andorra | Austria | Belarus | Bosnia na Herzegovina | Bulgaria | Kroatia | Denmark | Estonia | Ufaransa | Hungaria | Iceland | Ireland | Italia | Latvia | Liechtenstein | Lithuania | Luxemburg | Masedonia | Malta | Moldova | Monako | Norway | Poland | Romania | San Marino | Serbia na Montenegro3 | Slovakia | Slovenia | Hispania | Ubelgiji | Uceki | Ufini | Ugiriki | Ujerumani | Uholanzi | Ureno | Urusi1 | Uswidi | Uswisi | Ukraine | Uingereza | Vatikan
Maeneo ya Ulaya ya kujitawala chini ya nchi nyingine: Visiwa vya Faroe | Gibraltar | Guernsey | Jan Mayen | Jersey | Isle of Man | Svalbard Nchi za Asia ambazo ni mwanachama wa baraza la Ulaya au vyombo vingine vya Ulaya: Armenia2 | Azerbaijan1 || Cyprus2 | Georgia1 | Kazakhstan1 | Uturuki1 Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa: Abkhazia | Nagorno-Karabakh2 | Ossetia ya Kusini | Transnistria | Jamhuri ya Kituruki ya Cyprus ya Kaskazini2 Maelezo: (1) nchi ya kimabara katika Asia na Ulaya; (2) nchi katika eneo la Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) lakini kiutamaduni huhesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya; (3) Inaelekea kugawiwa kuwa nchi mbili za Serbia na Montenegro |