Ufaransa
From Wikipedia
|
|||||
National motto: Uhuru, Usawa, Undugu (Kifaransa: Liberté, Egalité, Fraternité) |
|||||
Lugha rasmi | Kifaransa1 | ||||
Mji mkuu | Paris | ||||
Mji mkubwa | Paris | ||||
Rais: | Jacques Chirac | ||||
Waziri Mkuu: | Dominique de Villepin | ||||
Eneo - Jumla2 - Ufaransa bara3 - % maji |
Nafasi ya 42 674,843 km² (260,558 sq. mi.) Nafasi ya 47 551,695 km²4 (213,011 sq. mi.) 543,965 km²5 (210,026 sq. mi.) 0.26% |
||||
Wakazi (January 1, 2005) - Total2 - Ufaransa bara3 - Density3 |
Nafasi ya 20 63,044,000 60,560,000 111/km² |
||||
GDP (PPP) - Jumla (2003) - GDP/mtu |
Nafasi ya 5 $1.661 Trillioni $27,600 |
||||
Pesa | Euro (€)6, CFP Franc7 | ||||
Kanda ya wakati - in summer |
CET (UTC+1)3 CEST (UTC+2)3 |
||||
Wimbo la taifa | La Marseillaise | ||||
Internet TLD | .fr | ||||
Calling Code | 33 | ||||
1 Taz. #Demografia kwa lugha za kimkoa |
|||||
Ufaransa ni nchi ya Ulaya. Mji mkuu ni Paris. Ni nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya. Eneo lake ni 674,843 km² na idadi ya wakazi ni 63,044,000.
Imepakana na Ubelgiji, Luxemburg, Ujerumani, Uswisi, Italia, Monako, Andorra na Hispania. Ina pwani ndefu na Atlantiki katika kaskazini na magharibi halafu na Mediteranea katika kusini.
Ufaransa ina pia maeneo mengi ya ng'ambo zilizokuwa koloni zake zamani lakini kwa sasa ni sehemu za kisheria za Jamhuri ya Ufaransa na wakzi wao ni raia za Ufaransa wenye haki zote. Kati ya maeneo haya kuna hasa visiwa katika Amerika ya Kaskazini, Amerika ya Kusini, Bahari ya Karibi, Afrika na Bahari Hindi halafu Bahari ya Pasifiki.
Lugha ya taifa ni Kifaransa lakini kuna lugha za maeneo kama vile Kibaski, Kibretoni, Kikatalani, Kikorsika, Kijerumani, Kiholanzi na Kioxitania. Wahamiaji hasa kutoka Afrika ya Kaskazini walileta pia lugha zao za Kiarabu na Kiberber.
Ufaransa haina dini rasmi lakini wakazi walio wengi ni Wakatoliki. Kutokana na uhamiaji kuna pia Waislamu wengi. Wafaransa wanapenda sana michezo hasa mpira wa miguu.
Ufaransa ilikuwa kati ya nchi zenye koloni nyingi ikasambaza lugha yake kote duniani na kutunza uhusiano wa pekee na nchi nyingine zinazotumia Kifaransa.
[edit] Majiji
[edit] Waja
[edit] Viungo vya Nje
Nchi na maeneo ya Ulaya | |||
---|---|---|---|
Albania | Andorra | Austria | Belarus | Bosnia na Herzegovina | Bulgaria | Kroatia | Denmark | Estonia | Ufaransa | Hungaria | Iceland | Ireland | Italia | Latvia | Liechtenstein | Lithuania | Luxemburg | Masedonia | Malta | Moldova | Monako | Norway | Poland | Romania | San Marino | Serbia na Montenegro3 | Slovakia | Slovenia | Hispania | Ubelgiji | Uceki | Ufini | Ugiriki | Ujerumani | Uholanzi | Ureno | Urusi1 | Uswidi | Uswisi | Ukraine | Uingereza | Vatikan
Maeneo ya Ulaya ya kujitawala chini ya nchi nyingine: Visiwa vya Faroe | Gibraltar | Guernsey | Jan Mayen | Jersey | Isle of Man | Svalbard Nchi za Asia ambazo ni mwanachama wa baraza la Ulaya au vyombo vingine vya Ulaya: Armenia2 | Azerbaijan1 || Cyprus2 | Georgia1 | Kazakhstan1 | Uturuki1 Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa: Abkhazia | Nagorno-Karabakh2 | Ossetia ya Kusini | Transnistria | Jamhuri ya Kituruki ya Cyprus ya Kaskazini2 Maelezo: (1) nchi ya kimabara katika Asia na Ulaya; (2) nchi katika eneo la Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) lakini kiutamaduni huhesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya; (3) Inaelekea kugawiwa kuwa nchi mbili za Serbia na Montenegro
|