Luxemburg
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Kiluxemburg: Mir wëlle bleiwe wat mir sinn (Kiingereza: "Tunataka kukaa jinsi tulivyo") |
|||||
Wimbo wa taifa: Ons Hémécht ("Nchi yetu") WImbo wa kifalme: De Wilhelmus 1 |
|||||
Mji mkuu | Luxemburg |
||||
Mji mkubwa nchini | Luxemburg | ||||
Lugha rasmi | Kifaransa, Kijerumani, KIluxemburg | ||||
Serikali
Mtemi mkubwa
Waziri Mkuu |
Utemi Mkubwa Mtemi Mkubwa Henri Jean-Claude Juncker |
||||
Uhuru Ilitangazwa Ilithebitishwa |
1815 1839 1867 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
2,586 km² (ya 176) -- |
||||
Idadi ya watu - 2005 kadirio - 2001 sensa - Msongamano wa watu |
465,000 (ya 168) 439,539 171/km² (ya 59) |
||||
Fedha | Euro (€)2 (EUR ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) CEST (UTC+2) |
||||
Intaneti TLD | .lu3 | ||||
Kodi ya simu | +352 |
Luxemburg ni nchi ndogo katika Ulaya. Imepakana na Ubelgiji, Ufaransa na Ujerumani. Ikiwa na wakazi nusu milioni kwenye eneo la 2,586 km² pekee ni nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya ilikuwa kati ya nchi sita zilizoanzisha Jumuiya ya Kiuchumi ya Ulaya mwaka 1957.
Lugha ya wakazi wengi ni Kiluxemburg ambayo ni lahaja ya Kijerumani yenye athira nyingi za Kifaransa. Karibu watu wote hujadili lugha zote tatu.
[edit] Historia
Luxemburg kama nchi ndogo ilikuwa mara nyingi chini ya athira ya majirani wakubwa waliochukua utawala juu yake kwa vipindi mbalimbali.
Kwa vipindi vingi vya historia yake Luxemburg ilikuwa sehemu ya Ujerumani. Katika karne ya 14 watemi wa Luxemburg walichagukiwa kuwa wafalme wa Ujerumani. Baada ya vita za Napoleoni Ufaransa na Prussia zilivutana juu ya Luxemburg. Walipatana kwenye Mkutano wa Vienna 1815 ya kurudisha Luxemburg kama nchi ya pekee itakayotawaliwa na Mtemi Mkubwa. Mfalme wa Uholanzi alikuwa mtemi wa Luxemburg na nchi yenyewe iliungwa katika Shirikisho la Ujerumani.
Baada ya mwisho wa Shirikisho la Ujerumani 1866 Luxemburg haikujiunga 1870 katika Dola jipya la Ujerumani. Badiliko la familia ya kifalme katika Uholanzi lilisababisha uchaguzi wa mtemi wa pekee.
Nchi na maeneo ya Ulaya | |
---|---|
Albania | Andorra | Austria | Belarus | Bosnia na Herzegovina | Bulgaria | Kroatia | Denmark | Estonia | Ufaransa | Hungaria | Iceland | Ireland | Italia | Latvia | Liechtenstein | Lithuania | Luxemburg | Masedonia | Malta | Moldova | Monako | Norway | Poland | Romania | San Marino | Serbia na Montenegro3 | Slovakia | Slovenia | Hispania | Ubelgiji | Uceki | Ufini | Ugiriki | Ujerumani | Uholanzi | Ureno | Urusi1 | Uswidi | Uswisi | Ukraine | Uingereza | Vatikan
Maeneo ya Ulaya ya kujitawala chini ya nchi nyingine: Visiwa vya Faroe | Gibraltar | Guernsey | Jan Mayen | Jersey | Isle of Man | Svalbard Nchi za Asia ambazo ni mwanachama wa baraza la Ulaya au vyombo vingine vya Ulaya: Armenia2 | Azerbaijan1 || Cyprus2 | Georgia1 | Kazakhstan1 | Uturuki1 Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa: Abkhazia | Nagorno-Karabakh2 | Ossetia ya Kusini | Transnistria | Jamhuri ya Kituruki ya Cyprus ya Kaskazini2 Maelezo: (1) nchi ya kimabara katika Asia na Ulaya; (2) nchi katika eneo la Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) lakini kiutamaduni huhesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya; (3) Inaelekea kugawiwa kuwa nchi mbili za Serbia na Montenegro |