Mauritania
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Kiarabu: شرف إخاء عدل; Kifaransa: Honneur, Fraternité, Justice (Heshima, Undugu, Haki) |
|||||
Wimbo wa taifa: كن للاله ناصرا وأنكر المناكر (Uwe msaidizi wa Mungu) |
|||||
Mji mkuu | Nouakchott |
||||
Mji mkubwa nchini | Nouakchott | ||||
Lugha rasmi | Kiarabu | ||||
Serikali
Rais
Waziri Mkuu |
Serikali ya kijeshi Ely Ould Mohamed Vall[1] •Sidi Mohamed Ould Boubacar |
||||
Uhuru - Tarehe |
Kutoka Ufaransa Novemba 28, 1960 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
1,030,700 km² (ya 28) kidogo sana |
||||
Idadi ya watu - 2005 kadirio - 1988 sensa - Msongamano wa watu |
3,086,859 (129) 1,864,236 [1] 2/km² (ya 187) |
||||
Fedha | Ouguiya (MRO ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
GMT (UTC+0) -- (UTC+0) |
||||
Intaneti TLD | .mr | ||||
Kodi ya simu | +222 |
Mauritania ni nchi ya Afrika kaskazini-magharibi. Upande wa magharibi ni pwani la bahari ya Atlantiki, upande wa kusini imepakana na Senegal, upande wa mashariki na Mali na Algeria, upande wa Kaskazini na Sahara ya Magharibi inayotawaliwa na Moroko. Mji mkuu ni Nouakchott.
Jina limeteuliwa kutokana na Mauritania ya kale iliyokuwa ufalme wa Kiberber kusini ya Mediteranea katika eneo la Algeria na Moroko ya leo.
[edit] Mikoa ya Mauretania
Mauretania ina mikoa 12 (inaitwa "wilāyah").
|
Nchi za Afrika | |
---|---|
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia |