Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Zimbabwe - Wikipedia

Zimbabwe

From Wikipedia

ሃግሬ ኤርትራ
Jamhuri ya Zimbabwe
Republic of Zimbabwe
Flag of Zimbabwe Coat of Arms of Zimbabwe
(Kinaganaga) (Kinaganaga)
Hadabu ya Taifa Unity, Freedom, Work (Kiingereza: Umoja, Uhuru, Kazi) " |
Image:ZimbabweWorldMap.png
Lugha ya Taifa Kiingereza
Mji Mkuu Harare
Mji Mkubwa Harare
Rais Robert Mugabe
Eneo
 - Jumla
 -Maji
 -Eneo ya kadiriwa
390,580 km²
1%
Kadiriwa 59 duni
Umma
 - Kadiriwa
 - Sensa,
 - Umma kugawa na Eneo (kilomita)
12,576,742 Kadiriwa 66 duni
(2003)
; 32/km²
; [[Orotha ya nchi kulingana na eneo kwa umma| duni]
Chumo cha uchumi
 - Jumla
 - kwa kipimo cha umma
$24.99 billion (( ) kadir)
$2,100 (( ))
Uhuru
 - Kadirifu
 - Barabara
(kama, Rhodesia) Novemba 11, 1965
(kama Zimbabwe) Aprili 18, 1980
Fedha Dola, Zimbabwe (Z$)|
Saa za Eneo UTC +2
Wimbo wa Taifa
Intaneti TLD .zw
kodi za simu 263

Jamhuri ya Zimbabwe (iliojulikana kama Rhodesia) ni nchi bara upande wa kusini kwa Bara la Afrika, kati ya mto Zambezi na mto Limpopo. Imepakana na Africa ya Kusini upande wa kusini, Botswana magharibi, Zambia kaskazini-mashariki, na upande wa mashariki imepakana na Musumbiji. Jina Zimbabwe latoka kutoka jina "dzimba dzamabwe" kumaanisha "nyumba ya mawe" kwa lugha ya Kishona. Nyumba hii ya mawe, ilioitwa Zimbabwe ambayo imehifadhiwa kama eneo ya kihistoria, ilikua Milki ya Mwenemtaba ambaye ufalme wake uliongoza eneo hii miaka ya kale. [[Image:Zimbabwe.geohive.gif|thumb|420px|right|Mikoa].

Contents

[edit] Eneo

Tako la Kifungu: Mikoa ya Zimbabwe, Wilaya za Zimbabwe

Zimbabwe imegawa kwa Mikoa 8 na miji mbili zikiwa na cheo cha Mikoa. Imegawa zaidi kwa Wilaya 59 na munisipaa 1,200.

Mikoa ni Bulawayo (mji), Harare (mji), Manicaland, Mashonaland ya kati, Mashonaland ya Mashariki, Mashonaland magharibi, Masvingo, Matabeleland ya kaskazini, Matabeleland kusini, na Eneo ya Kati (midlands).

Wilaya: ona Wilaya za Zimbabwe

Munisipali: ona Munisipa za Zimbabwe

maporomoko ya maji (Bridal Vei), paa za mashariki
maporomoko ya maji (Bridal Vei), paa za mashariki
Image:ZimShopJM.jpg
Duka, Paa za mashariki, 1989

[edit] Utamaduni

Tako la Kifungu: Utamaduni wa Zimbabwe

  • Miziki ya Zimbabwe
  • Orotha ya waandishi wa Zimbabwe
  • Reps Theatre - local theatre company
  • Over the Edge - local theatre company
  • Miziki ya Shona

[edit] Tako kiwasowaso

  • Mawasiliano Zimbabwe

Mawasiliano ya Simu, mitambo yake yaendeshwa na (Tel-One0, kampuni ya serikali. Kuna kampuni 3 za (simu za mkononi): Econet Wireless, Net*One na Telecel.

  • Mambo ya kigeni Zimbabwe
  • Utekelezaji wa Arthi, Zimbabwe
  • Orotha ya miji Zimbabwe miji minne Zimbabwe
    • Bulawayo mji wa pili kwa ukubwa
    • Harare mji mkuu
    • Masvingo
    • Mutare
  • Jeshi ya Zimbabwe
  • Jina za eneo Zimbabwe
  • Wana Habari bila mpaka Orotha ya uhuru kwa waadishi habari 2004: ranki 155 kwa nchi 167 .
  • Usafirishaji Zimbabwe
  • The Interpreter kiswa(mfasiri), Cinema ya mwakaa 2005 ambayo ya onyesha kiongozi chuku wa nchi Afrika, ambaye ya muadhiri Robert Mugabe, akitafuta kuepuka mahakama ya kimataifat ilioamrishwa na baraza ya kimataifa ya kuhifadhi amani ili kumuhukumu kwa Hatia za kibinadamu.
  • chama cha wana skauti wa Zimbabwe

[edit] Uchambuzi

[edit] Viungo via nnje

[edit] Serikali

[edit] Habari

[edit] Wanamgambo

[edit] Mielekezo

[edit] Utalii

[edit] Nyingine


Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia
Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com