Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Burundi - Wikipedia

Burundi

From Wikipedia

Republika y'u Burundi
République du Burundi

Jamhuri ya Burundi
Flag of Burundi Nembo ya Burundi
Bendera Nembo
Wito la taifa: Unité, Travail, Progrès
(French: Umoja, Kazi, Maendeleo)
Wimbo wa taifa: Burundi bwacu
Lokeshen ya Burundi
Mji mkuu Bujumbura
3°30′ S 30°00′ E
Mji mkubwa nchini Bujumbura
Lugha rasmi Kirundi na Kifaransa
Serikali
Raisi
Jamhuri
Pierre Nkurunziza
Uhuru
 - Tarehe
kutoka Ubelgiji
Julai 1, 1962
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
27,830 km² (142nd)
7.8%
Idadi ya watu
 - 2003 kadirio
 - 1978 sensa
 - Msongamano wa watu
 
6,054,714 (99th)
3,589,434
206.1/km² (52)
Fedha Burundi franc (FBu) (BIF)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
CAT (UTC+2)
- (UTC+2)
Intaneti TLD .bi
Kodi ya simu +257
Map of Burundi
Map of Burundi
Satellite image of Burundi
Satellite image of Burundi
NASA photo of Burundi
NASA photo of Burundi

Jamhuri ya Burundi (Iliyojulikana zamani kama Urundi) ni nchi ndogo ambayo iko karibu na Eneo la Maziwa Kubwa ya Afrika. Burundi imepakana na Rwanda upande wa kaskazini, Tanzania upande wa mashariki, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo upande wa magharibi. Ingawa Burundi haina bahari sehemu ya mpaka wake eneo la mashariki uko karibu na Ziwa Tanganyika. Jina lenyewe la nchi hii, limetokana kwa msingi na kutanuka Bantu lugha ya, Kirundi.

Burundi ni nchi ndogo iliyomo barani Afrika. Mara kadhaa nchi hii imekuwa na misukosuko na machafuko ya kisiasa na kijamii. Shida kubwa ni kuwa Burundi haina maliasili kutosheleza umma na kutosheleza ratili ya kisiasa kwa walio wengi Wahutu na walio wachache Watusi.

Contents

[edit] Watu na Utamaduni

  • Kadanda Burundi
  • orodha ya waandishi kutoka Burundi
  • Muziki wa Burundi

[edit] Utafiti

  • Mawasiliano nchini Burundi
  • Mahusiano ya Kimataifa Burundi
  • Jeshi la Burundi
  • Usafiri nchini Burundi

Mambo mengi ya Burundi yamepatikana kutoka CIA World Factbook 2000 na 2003 U.S. Department of State website.

[edit] Kichunguzi

[edit] Ongezea masomo kwa wingi

  • Burundi: Ethnic Conflict and Genocide Reni Lemarchand and Lee H. Hamilton

[edit] Mishikanizi

[edit] Viungo vya nje

[edit] Serikali

[edit] Habari

[edit] Overviews

[edit] Maendelezo


[edit] Other


Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia
Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com