Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Cabo Verde - Wikipedia

Cabo Verde

From Wikipedia

República de Cabo Verde
Jamhuri ya Cabo Verde
Flag of Cabo Verde Nembo ya Cabo Verde
Bendera Nembo
Wito la taifa: Unity, Work, Progress (Umoja, Kazi, Manedeleo)
Wimbo wa taifa: Cântico da Liberdade (Wimbo wa Uhuru)
Lokeshen ya Cabo Verde
Mji mkuu Praia
14°55′ N 23°31′ W
Mji mkubwa nchini Praia
Lugha rasmi Kireno (official) na lugha 9 za krioli
Serikali
Rais
Waziri Mkuu
Jamhuri
Pedro Pires
José Maria Neves
Uhuru
kutoka Ureno
imetambuliwa 5 Julai, 1975
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
4,033 km² (ya 165)
Kidogo sana
Idadi ya watu
 - Julai 2005 kadirio
 - 2001 sensa
 - Msongamano wa watu
 
418,224 (ya 164)
401,343
101/km² (ya 71)
Fedha Cape Verdean escudo (CVE)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-1)
(UTC)
Intaneti TLD .cv
Kodi ya simu +238
Ramani ya Cabo Verde
Ramani ya Cabo Verde

Cabo Verde ni nchi ya visiwa katika Atlantiki mbele ya pwani la Afrika ya Magharibi. Umbali wake na Senegal ni 460 km. Eneo la visiwa vyake 15 ni 4033 km².

Mji mkuu ni Praia katika kisiwa cha Santiago.

Funguvisiwa yake ina visiwa 15 katika vikundi viwili:

  • Visiwa "juu ya upepo" (Barlavento): Santo Antão, São Vicente, São Nicolau, Sal, Boa Vista na visiwa bila watu vya Santa Luzia, Branco und Razo.
  • Visiwa "chini ya upepo" (Sotavento): Maio, Santiago, Fogo, Brava na visiwa bila watu vya Ilheus Secos ou do Rombo.

Miji mikubwa zaidi ni (namba za 2005): Praia (wakazi 113.364), Mindelo (wakazi 70.611), Santa Maria (wakazi 17.231), Pedra Badejo (wakazi 9.488) und São Filipe (wakazi 8.189).

Hadi kufika kwa Wareno funguvisiwa ya Cabo Verde haikuwa na watu. Wareno walianzisha mashamba ya miwa na kuleta watumwa kutoka bara la Afrika. Cabo Verde ilikuwa pia kituo muhimu cha biashara ya watumwa kati ya Afrika na Amerika. Wahamiaji kutoka Ulaya walikuwa pamoja na Wayahudi Wareno waliokataliwa kukaa kwao Ureno. Idadi kubwa ya wakazi ni chotara kati ya Waafrika na Wareno.

Image:WikiLettreMini.png Makala hiyo kuhusu "Cabo Verde" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Cabo Verde kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.


Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia
Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com