Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Libya - Wikipedia

Libya

From Wikipedia

الجماهيرية العربية الليبية الشعبية الاشتراكية
(al-Dschamāhīriyya al-arabiyya al-Lībiyya asch-schabiyya al-ischtirākiyya)
Djamahiriya ya Ujamaa ya watu ya Kilibya-Kiarabu
Bendera ya Libya
Bendera ya Libya
Nembo la Libya
Nembo la Libya
Lugha rasmi Kiarabu
Mji Mkuu Tripoli
Serikali Jamhuri kwenye msingi wa itikadi ya Ujamaa wa Kiislamu
Kiongozi wa mapinduzi Muammar al-Gaddafi
Mkuu wa Dola Zanati Muhammad az-Zanati
Waziri Mkuu Schukri Muhammad Ghanim
Eneo 1.759.540 km²
Idadi ya Wakazi 5.631.585 (Julai 2004)
Wakazi kwa km² 3,2
JPT/mkazi 4.293 US-$ (2004)
Uhuru kutoka Italia tar. 24 Desemba, 1951
Pesa Dinari ya Libya
Wakati UTC+1
Wimbo la Taifa Allahu Akbar (Mungu ni mkuu)
Mahali pa Libya katika Afrika
Mahali pa Libya katika Afrika
Ramani ya Libya
Ramani ya Libya
Ziwa la Um el Maa huko Libya
Ziwa la Um el Maa huko Libya

Jamahiriya ya Ujamaa ya watu ya Kilibya-Kiarabu (kwa kifupi rasmi Jamahiriya ya Kilibya-Kiarabu) ni nchi ya Afrika ya Kaskazini ikipakana na Bahari ya Mediteraneo, Misri, Sudan, Niger, Chad, Algeria na Tunisia. Neno la "Jamhariya" limeundwa na kiongozi wa taifa Muammar al-Gaddafi ina maana ya kulingana na "Jamhuri".

[edit] Wakazi

Wakazi wa Libya ni hasa Waarabu (74 %) na Waberberi ambao wengi wameanza kutumia lugha ya Kiarabu pia. Kuna pia Waitalia. Wakazi wameongezeka tangu 1970 kutoka milioni 2.5 kuwa milioni sita hadi karibu milioni sita mwaka 2005. Nusu ya wakazi ni vijana chini ya umri wa miaka 16. Sehemu kubwa kabisa (80 %) huishi sehemu za pwani. Eneo kubwa la nchi ni jangwa la Sahara. Miji mikuu ni Tripoli, Benghazi na Misratah.

Lugha kuu ni Kiarabu pamoja na lugha kadhaa za Kibeberi. Ndizo

  • Nafusi (wasemaji 101.000)
  • Ghadames (wasemaji 42.000)
  • Tamascheq (Tuareg; wasemaji 17.000)
Image:WikiLettreMini.png Makala hiyo kuhusu "Libya" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Libya kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.


Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia

[edit] External Links

Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com