Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Ghana - Wikipedia

Ghana

From Wikipedia

Republic of Ghana
Flag of Ghana Nembo ya Ghana
Bendera Nembo
Wito la taifa: Freedom and Justice (Uhuru na Haki)
Wimbo wa taifa: God Bless Our Homeland Ghana (Mungu aibariki nchi yetu ya Ghana)
Lokeshen ya Ghana
Mji mkuu Accra
5°33′ N 0°15′ W
Mji mkubwa nchini Accra
Lugha rasmi Kiingereza
Serikali
Rais
Jamhuri
John Agyekum Kufuor
Uhuru
kutoka Uingereza
6 Machi, 1957
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
238,540 km² (ya 79)
3.5
Idadi ya watu
 - 2006 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
22,409,5721 (ya 52)
88.2/km² (ya 83)
Fedha Cedi (GHC)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
GMT (UTC)
no (UTC)
Intaneti TLD .gh
Kodi ya simu +233
1 note: 1.) Note: makadirio ya idadi ya wakazi yameangalia matokeo ya vifo vingi kutokana na UMKIMWI. (makadirio ya Julai 2005)

Ghana ni nchi iliyoko Afrika ya Magharibi. Ni nchi ya kwanza kupata uhuru Afrika. Ilipata uhuru mwaka 1957 toka kwa Waingereza ikiongozwa na rais wake wa kwanza, Kwame Nkrumah. Mji mkuu ni Accra.

Ghana inapakana na nchi ya Cote d'Ivoire upande wa magharibi, Burkina Faso upande wa kaskazini, Togo upande wa mashariki, na Guba ya Guinea katika mwambao wa kusini.

[edit] Historia

Jina la "Ghana" limechaguliwa kutokana na jina la dola la Ghana lililotawala katika eneo la Mauretania na Mali kati ya 750-1240 BK. Hakuna uhusiano kati ya Ghana ya kihistoria na Ghana ya leo. Ghana ilikuwa nchi ya kwanza ya kiafrika iliyochagua jina la kihistoria -wakati mwingine bila kujali sana uhusiano wa kihistoria- kwa kusudi la kuacha nyuma majina ya kikoloni.

Sehemu ya Afrika ya Magharibi penye Ghana ya leo iliitwa "pwani la dhahabu" (Gold Coast) katika lugha za Ulaya kwa sababu Wareno na Waholanzi walinunua hapa dhahabu. Waingereza walichukua utawala wa pwani lile katika karne ya 19 wakaita eneo la pwani "Koloni ya Pwani la Dhahabu". Mwaka 1947 waliunganisha koloni na maeneo ya Ashanti na Kaskazini pamoja na Togo ya Kiingereza kwa jina la "Pwani la Dhahabu".


[edit] Viungo vya Nje

Image:WikiLettreMini.png Makala hiyo kuhusu "Ghana" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Ghana kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.


Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia
Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com