Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Sao Tome na Principe - Wikipedia

Sao Tome na Principe

From Wikipedia

República Democrática de São Tomé e Príncipe
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Sao Tome na Principe
Flag of Sao Tome na Principe Image:Saoprinarms22.PNG
Bendera Nembo
Wito la taifa: n/a
Wimbo wa taifa: Independência total (Uhuru Kabisa)
Lokeshen ya Sao Tome na Principe
Mji mkuu Sao Tome
0°20′ N 6°44′ E
Mji mkubwa nchini Sao Tome
Lugha rasmi Kireno
Serikali
Rais
Waziri Mkuu
Jamhuri
Fradique de Menezes
Tomé Vera Cruz
Uhuru
 - Date
Kutoka Ureno
12 Julai, 1975

currency = Dobra

Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
964 km² (ya 169)
0% (visiwa)
Idadi ya watu
 - 2005 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
169,000 (ya 173)
171/km² ()
Fedha {{{currency}}} (STD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
UTC (UTC+0)
(UTC)
Intaneti TLD .st
Kodi ya simu +239

Sao Tome na Principe ni nchi ya visiwa katika Bahari ya Atlantiki mbele ya pwani la Afrika ya Magharibi katika Ghuba ya Guinea. Ilikuwa koloni ya Ureno hadi 1975.

Eneo lake ni hasa visiwa viwili vikubwa vya São Tomé na Príncipe pamoja na visiwa vidogo kadhaa. Sao Tome na Principe vina umbali wa 140 km kati yao vikiwa takriban 250 na 225 km kutoka pwani la Gabon. Visiwa vyote ni sehemu ya safu ya milima ya volkeni baharini. Sao Tome iko kwenye mstari wa iweta.

Jina la Sao Tome lamaanisha "Mtakatifu Thomas" kwa sababu Wareno walifika mara ya kwanza siku ya Thomas katika kalenda ya kikatoliki.

90 % za wakazi huishi kwenye kisiwa kikubwa cha Sao Tome ambacho kina urefu wa 48 km na upana wa 32 km. Hapa kuna milima ya kufikia 2.024 m juu ya UB

Kisiwa cha pili ni Principe kina urefu wa 16 km na upana wa 6 km. Mlima wake mkubwa unafikia 927 m juu ya UB.

Ramani ya Sao Tome na Pricipe
Ramani ya Sao Tome na Pricipe

[edit] Miji

Miji mikubwa zaidi ni (namba za 2005):

  • São Tomé: wakazi 56.1670
  • Santo Antonio: wakazi 8.239
  • Neves: wakazi 7.392
  • Santa Cruz: wakazi 6.969
  • Trindade: wakazi 6.636

Pamoja na lugha rasmi ya Kireno wakazi hutumika lugha za krioli zinazochanganya Kireno na lugha za Kibantu kama vile Saotomense (wasemaji 70.000), Principense (wasemaji 1.500) na Angolar (wasemaji 5.000).

80 % za wakazi ni Wakatoliki, takriban 10 % ni New Apostolic.

[edit] Uchumi

Uchumi wa visiwa ulikuwa hasa mashamba makubwa ya kakao pamoja na kahawa na mazao ya minazi.

Katika miaka ya nyuma akiba za mafuta ziligunduliwa baharini katika maeneo kati ya Sao Tome na Nigeria. Mwaka 2001 nchi zote mbili zilipatana kuendelea pamoja na utafiti wa akiba hizi. Kutokana na kazi hizi kuna matumaini ya mapato makubwa wakati ujao.


[edit] Historia

Image:WikiLettreMini.png Makala hiyo kuhusu "Sao Tome na Principe" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Sao Tome na Principe kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.


Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia
Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com