Cote d'Ivoire
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: (tafsiri) Umoja, Nidhamu, Kazi | |||||
Wimbo wa taifa: L'Abidjanaise | |||||
Mji mkuu | Yamoussoukro (rasmi) Abidjan (hali halisi) |
||||
Mji mkubwa nchini | Abidjan | ||||
Lugha rasmi | Kifaransa | ||||
Serikali
Rais
|
Jamhuri Laurent Gbagbo |
||||
Uhuru Tarehe |
Agosti 7, 1960 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
322,460 km² (ya 67) 1.4% |
||||
Idadi ya watu - 2005 kadirio - 1988 sensa - Msongamano wa watu |
18,154,000 ¹ (ya 57) 10,815,694 54/km² (ya 118) |
||||
Fedha | CFA franc (XOF ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
GMT (UTC+0) haifuatwi (UTC+0) |
||||
Intaneti TLD | .ci | ||||
Kodi ya simu | +225 |
Côte d'Ivoire (tamka: kot divwar; kifar.: "Pwani la pembe za ndovu") (Kisw. pia: Kodivaa), kwa Kiingereza Ivory Coast ni nchi ya Afrika ya Magharibi. Imepakana na Liberia na Guinea upande wa magharibi, Mali na Burkina Faso kaskazini, Ghana kwenye mashariki na Ghuba ya Guinea ya Atlantiki upande wa kusini.
Iliwahi kuwa kati ya nchi tajiri zaidi za Afrika lakini tangu mwaka 2002 uchumi na hali ya maisha zimeharibika kutokana na vita ya wenyewe kwa wenyewe.
[edit] Viungo vya nje
Serikali
- Embassy of Côte d'Ivoire in Japan government information and links
Habari
- allAfrica - Côte d'Ivoirenews headline links
- Abidjan.Net news forums links
Overviews
- BBC News - Country Profile: Ivory Coast
- CIA World Factbook - Cote d'Ivoire
- Library of Congress Country Study - Ivory Coast data as of November 1988
Orodha
- The Index on Africa - Côte d'Ivoire directory category
- Open Directory Project - Côte d'Ivoire directory category
- Stanford University - Africa South of the Sahara: Cote d'Ivoire - Ivory Coast directory category
- University of Pennsylvania - African Studies Center: Cote d'Ivoire directory category
- Yahoo! - Cote d'Ivoire directory category
Utalii
Mengineyo
- Map of Côte d'Ivoire
- Template:Fr icon Parti Ivoirien du Peuple
- Global Security - Ivory Coast Conflict
- Akwaba in Ivory Coast
Nchi za Afrika | |
---|---|
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia |