1866
From Wikipedia
[edit] Matukio
[edit] Waliozaliwa
- 29 Januari - Romain Rolland (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1915)
- 12 Agosti - Jacinto Benavente (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1922)
- 21 Septemba - Charles Nicolle (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1928)
- 12 Desemba - Alfred Werner (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1913)