Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Kilatini - Wikipedia

Kilatini

From Wikipedia

Kilatini ni lugha ya kihistoria isiyo na wasemaji kama lugha ya kwanza tena lakini bado hufundishwa shuleni na chuoni na kutumiwa kama lugha ya pili.

Kilatini ni pia jina la mwandiko au aina ya herufi za alfabeti ya Kilatini inayotumika kwa lugha nyingi duniani. Hata Kiswahili huandikwa siku hizi kwa herufi za Kilatini kama kwa mfano ukurasa huu wa wikipedia.

Kilikuwa

  • lugha ya Dola la Roma
  • lugha mama ya Kiitalia, Kihispania, Kireno, Kifaransa na Kiromania
  • lugha ya elimu na sayansi katika Ulaya kwa karne nyingi
  • lugha rasmi ya serikali katika nchi nyingi za Ulaya kati ya mwisho wa Dola la Roma mw. 476 b.K. hadi mnamo 1700 b.K.
  • lugha ya liturgia na ibada zote katika Kanisa Katoliki hadi 1965

Hadi leo ni

  • lugha ya kidini katika kanisa katoliki
  • lugha rasmi katika nchi ya Vatikano

Kilatini ina athira kubwa katika lugha ya sayansi na elimu. Hadi leo hufundishwa mashuleni hasa Ulaya kama lugha ya kigeni. Kiswahili kimerithi maneno ya asili ya Kilatini kupitia Kiingereza kilichopokea karibu theluthi moja ya maneno yake yote kutoka Kilatini.

Kilatini huendelezwa na kukuzwa na wapenzi wa lugha. Kuna misamiati ya "Kilatini cha Kisasa" yenye maneno kwa ajili ya mitambo ya kisasa, mtandao n.k.. Wikipedia ya Kilatini (http://la.wikipedia.org/wiki/Pagina_prima) ina makala zaidi ya 4000.

Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com