Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Wavandali - Wikipedia

Wavandali

From Wikipedia

Ramani inaonyesha matemebezi ya makabila ya Kigermanik katika karne za kwanza BK. Dola la Roma huonekana katika rangi mbili kufuatana na mgawanyiko wa 395: Roma ya Magharibi ni nyekundu, Roma ya Mashariki ni dhambarau.
Ramani inaonyesha matemebezi ya makabila ya Kigermanik katika karne za kwanza BK. Dola la Roma huonekana katika rangi mbili kufuatana na mgawanyiko wa 395: Roma ya Magharibi ni nyekundu, Roma ya Mashariki ni dhambarau.

Wavandali walikuwa kabila kubwa la Kigermanik wa mashariki waliohamia katika karne 5 za kwanza BK kutoka sehemu za Poland ya leo hadi Afrika ya Kaskazini wakiunda Ufalme wao katika maeneo ya Algeria na Tunisia ya leo.

Inaonekana ya kwamba walianza kutoka kwao Ulaya ya mashariki kutokana na uvamizi wa Wahuni. Mwaka 406 BK walivuka mto wa Rhine wakaingia Gallia (Ufaransa), 409 wakavamia Hispania. Kutoka Hispania ya Kusini walivuka bahari ya Mediteraneo mwaka 429 na kuingia Afrika ya Kaskazini iliyokuwa jimbo la Dola la Roma. Kuna taarifa ya jemadari Mroma wa wakati ule ya kwamba walikuwa jumla ya wanaume wenye silaha kati ya 15,000 hadi 20,000 kwa hiyo pamoja na familia zao takriban watu 80,000.

Wavandali waliteka Afrika ya Kaskazini yote iliyokuwa jimbo tajiri sana katika Dola la Roma likilimwa hapo sehemu kubwa ya ngano kwa ajili ya mahitaji ya Italia. Mwaka 430 waliteka mji wa Hippo wa askofu Agostino ukawa makao makuu ya mfalme wao Geiserik. 439 waliteka pia mji wa Karthago na mfalme akaifanya mji wake mkuu. Uvamizi wa Karthago uliwapatia Wavandali pia jahazi nyingi za kijeshi za Waroma. Hali hii iliwawezesha kushambulia hata mji wa Roma penyewe mwaka 455 lakini hawakukaa ila baada ya kuvamia walirudi kwa Afrika.

Ufalme wa Wavandali ulidumu karibu karne moja. Katika karne ya sita Kaisari Justinian wa Bizanti (Roma ya Mashariki) alimaliza utawala wao akivamia Afrika ya Kaskazini na kuirudisha katika Dola la Roma tangu mwaka 534.

Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com