Kihispania
From Wikipedia
Kihispania ("Español") ni lugha ya kimatifa ambacho ni lugha ya kwanza kwa milioni 358; kwa jumla pamoja na wasemaji wa Kihispania kama lugha ya pili kuna milioni 460 duniani wanaosema Kihispania.
Asili ya lugha ni katika nchi ya Hispania (Ulaya) lakini kutokana na historia ya ukoloni na biashara lugha imesambaa sana hasa Amerika ya Kusini.
Contents |
[edit] Nchi zinazotumia Kihispania kama lugha rasmi
[edit] Amerika ya Kati na Karibi
- Costa Rica
- Cuba
- Jamhuri ya Dominika
- Guatemala
- Honduras
- Mexico
- Nicaragua
- Panama
- Puerto Rico
- and El Salvador
[edit] Amerika ya Kusini
[edit] Afrika
[edit] Nchi penye wasemaji wengi wa Kihispania
- Nchini Marekani Kihispania ni lugha ya pili baada ya Kiingereza hasa katika majimbo ya Kusini zilizikuwa zamani sehemu za Mexiko.
- Ufilipino kwa sababu ilikuwa koloni ya Hispania
[edit] Historia ya lugha
Asili ya Kihispania ni lugha ya Kilatini ya Waroma wa Kale. Kati ya lugha za Kirumi Kishispania ni lugha ya kisasa ambayo ni karibu zaidi na lugha ya kale.