Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Kigiriki - Wikipedia

Kigiriki

From Wikipedia

Alfabeti ya Kigiriki
Α α Alpha Β β Beta
Γ γ Gamma Δ δ Delta
Ε ε Epsilon Ζ ζ Zeta
Η η Eta Θ θ Theta
Ι ι Iota Κ κ Kappa
Λ λ Lambda Μ μ Mu
Ν ν Nu Ξ ξ Xi
Ο ο Omicron Π π Pi
Ρ ρ Rho Σ σ Sigma
Τ τ Tau Υ υ Ipsilon
Φ φ Phi Χ χ Chi
Ψ ψ Psi Ω ω Omega

Kigiriki (pia: Kiyunani) ni lugha ya Kihindi-Kiulaya yenye historia ndefu sana. Maandishi yake yamejulikana tangu miaka 3500. Hakuna lugha nyingine duniani inayozungumzwa leo inayojulikana kuwa na historia hii isipokuwa Kichina.

Kigiriki ni muhimu sana kwa utamaduni wa kisasa kwa sababu ina michango mingi kwa lugha ya sayansi, teknolojia na utamaduni. Fikra nyingi muhimu zilionekana mara ya kwanza kwa Kigiriki na falsafa yaliyojadiliwa na kuandikwa kwa lugha hii.

Alfabeti ya Kigiriki ilikuwa msingi kwa ajili alfabeti mbili za Kilatini na Kikirili. Kiswahili huandikwa kwa herufi za Kilatini.

Kati ya maandiko muhimu ya Kigiriki ni yale ya wanafalsafa kama Platon na Aristoteles na pia maandiko ya Agano Jipya la Biblia. Kati ya karne ya 3 KK hadi karne ya sita BK Kigiriki kilikuwa lugha muhimu ya kimataifa katika eneo kubwa la Mediteranea pamoja na Mashariki ya Kati. Kigiriki kile cha kale kimekwisha hakijadiliwi tena na watu lakini bado kinafundishwa. Lugha imeendelea kubadilika kisarufi na pia kimsamiati.

Leo hii katika nchi ya Ugiriki kuna lugha ya Kigiriki Kipya kinachoendela kuandikwa katika herufi zilezile.


[edit] Ulingano wa Kigiriki cha Kale na cha Kisasa

Kigiriki cha Kisasa Kigiriki cha Kale
1 Στην αρχή ήταν ο Λόγος, και ο Λόγος ήταν προς τον Θεό(ν), και Θεός ήταν ο Λόγος. 1 Ἐν ἀρχῇ ἦν ὁ Λόγος, καὶ ὁ Λόγος ἦν πρὸς τὸν Θεόν, καὶ Θεὸς ἦν ὁ Λόγος.
/stin ar'khi 'itan o 'logos ke o 'logos 'itan pros ton thi'o ke o 'logos 'itan thi'os/ /en ar'khe en o logos kaí o lógos en prós tón the'on kaí the'os en o lógos/
Kwa Kiswahili: Hapo Mwanzo, Neno alikuwako; naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. (Injili ya Yohana, 1,1)
Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com