1965
From Wikipedia
[edit] Matukio
- Aprili - 23 Septemba vita ya pili ya Kashmir kati ya Uhindi na Pakistan iliyoanza na mashambulio ya wanamgambo kutoka Pakistan na kufikia vita ya jeshi za nchi zote mbili kabla ya kuishia bila mabadiliko makbuwa ya mpaka.
- 18 Februari - Nchi ya Gambia inapata uhuru kutoka Uingereza.
- 11 Novemba - Nchi ya Rhodesia inapata uhuru kutoka Uingereza.
[edit] Waliozaliwa
[edit] Waliofariki
- 4 Januari - T. S. Eliot (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1948)
- 24 Januari - Winston Churchill (Waziri Mkuu wa Uingereza, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1953)
- 30 Machi - Philip Hench (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1950)
- 4 Septemba - Albert Schweitzer
- 5 Desemba - Joseph Erlanger (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1944)