Skandinavia
From Wikipedia
Skandinavia ni eneo la Ulaya ya Kazkazini. Kwa kawaida neno linataja nchi tano za Norway, Uswidi, Denmark, Ufini na Iceland.
Kwa njia nyingine "Skandinavia" ni nchi mbili za rasi ya Skandinavia pekee yaani Norway na Usidi.
Lugha za Skandinavia ziko karibu sana kati yao; zote ni Kigermanik ya Kaskazini isipokuwa Kifini ambacho ni lugha ya Kiasia.