Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Funguvisiwa - Wikipedia

Funguvisiwa

From Wikipedia

Funguvisiwa ni kundi la visiwa vinavyokaa sehemu pamoja baharini. Mara nyingi kundi hili lina asili ya pamoja, kama vile kuwa mabaki ya kisiwa kikubwa zaidi kilichogawiwa kutokana mmomonyoko wa ardhi yake au kuwa na asili ya kivolkeno.

Funguvisiwa kubwa kabisa duniani ni Indonesia pamoja na Filipino inayoitwa pia Fungusiwa ya Malay.

Bahari ya Pasifiki ina funguvisiwa nyingi, pia sehemu ya Karibi ya Bahari ya Atlantiki karibu na Amerika ya Kati.

Funguvisiwa muhimu za Afrika ni Zanzibar, Shelisheli na Komoro katika Bahari Hindi, halafu katika Atlantiki Visiwa vya Kanari na Visiwa vya Madeira . Funguvisiwa ndogo karibu na pwani la Afrika ya Mashariki ziko Lamu, Kilwa na Kirimba.

Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com