Nembo ya Slovenia
From Wikipedia
Nembo ya Slovenia ni ngao ya buluu inayoonyesha mlima wa Triglaff ambao ni mlima mkubwa wa nchi yenye ncha tatu. Mlima unakatwa na mistari miwili ya buluu inayodokeza kwa mawimbi wa bahari ya Adria. Juu yake kuna nyota tatu za rangi ya dhahabu kutoka nembo ya kihistoria ya Utemi wa Celje.
Ngao hii pia ni sehemu ya bendera ya Slovenia.