Barbados
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: "Pride and Industry" | |||||
Wimbo wa taifa: In Plenty and In Time of Need | |||||
Mji mkuu | Bridgetown |
||||
Mji mkubwa nchini | Bridgetown | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
Serikali
Malkia
Gavana Mkuu Waziri Mkuu |
Parliamentary democracy Constitutional monarchy Malkia Elizabeth II Clifford Husbands Owen Arthur |
||||
Uhuru kutoka Uingereza |
30 Novemba 1966 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
431 km² (ya 199) Kidogo sana |
||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - Msongamano wa watu |
279,254 (ya 180) 647/km² (ya 15) |
||||
Fedha | Barbados dollar ($) (BBD ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-4) (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .bb | ||||
Kodi ya simu | +1-246 |
Barbados ni nchi ya kisiwani katika Bahari ya Karibi takriban 430 km kaskazini.- mashariki ya Venezuela (Amerika Kusini).
Nchi jirani za karibu kuvukia bahari ni Saint Lucia na Saint Vincent upande wa magharibi, Trinidad na Tobago upande wa kusini na Grenada upande wa kusini-magharibi. Barbados ni kisiwa cha Antili Ndogo.
Makala hiyo kuhusu "Barbados" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Barbados kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |