Trinidad na Tobago
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Together we aspire, together we achieve | |||||
Wimbo wa taifa: Forged From The Love of Liberty | |||||
Mji mkuu | Port of Spain |
||||
Mji mkubwa | Chaguanas [1] | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
Serikali
Rais
Waziri Mkuu |
Jamhuri George Maxwell Richards Patrick Manning |
||||
Uhuru Kutoka Uingereza |
31 Agosti 1962 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
5,128 km² (ya 172) Kidogo sana |
||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - Msongamano wa watu |
1,305,000 (ya 152) 207.8/km² (ya 47) |
||||
Fedha | Trinidad and Tobago dollar (TTD ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-4) (UTC n/a) |
||||
Intaneti TLD | .tt | ||||
Kodi ya simu | +1-868 |
Jamhuri ya Trinidad na Tobago ni nchi ya visiwani katika Karibi ya kusini karibu na pwani la Venezuela upande wa kusini ya kisiwa cha Grenada cha Antili Ndogo. Nchi jirani nyingine kuvukia bahari ni Barbados na Guyana.
Nchi ina eneo la 5,128 km² ambalo karibu lote ni kisiwa kikuu cha Trinidad. Tobago ina ailimia 6 za eneo pekee pamoja na 4% ya wakazi. Kuna visiwa vidogo vingine 21.