Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions Ethiopia - Wikipedia

Ethiopia

From Wikipedia

የኢትዮጵያ ፌዴራላዊ
ዲሞክራሲያዊ ሪፐብሊክ
ye-Ityopp'ya Federalawi Dimokrasiyawi Ripeblik
Shirikisho la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Ethiopia
Flag of Ethiopia Coat of Arms of Ethiopia
(Kinaganaga) (Kinaganaga)
Hadabu ya Taifa: nara-pengine kwa historia
(Pengine pia utamaduni wakanisa la ethiopia:
Location of Ethiopia
Lugha za Taifa Kiamhara
Mji Mkuu Addis Ababa
Rais
Waziri Mkuu
Girma Wolde-Giorgis
Meles Zenawi
Eneo
 - Jumla
 - 0.7% Maji
Kadiriwa 27 duni
1,127,127 km²
Acha
Umma
 - Kadiriwa ( 37 duni )
 - Jumla (73,053,286 )
 - Umma kugawa na Eneo 167.9
Kadiriwa 16 duni
73,053,286
73,053,286
38/km² ([[Orotha ya nchi kulingana na chumo cha umma na eneo|103 duni])
GDP (PPP)
 - Jumla
 - kwa kipimo cha umma
72 kadir
$59,930,000,000 (223)
$800 (223)
Uhuru
 - Kadirifu
 - Barabara
Madaraka)
 siku kuu Siku ya Ukombozi
 
Fedha Birr
Saa za Eneo UTC +3
Wimbo wa Taifa Wodefit Gesgeshi, Widd Innat Ityopp'ya
(Songa mbele, Ewe mama Ethiopia) ]]
Intaneti TLD .et
kodi za simu 251

Ethiopia (Kiamhara ኢትዮጵያ Ityopp'ya; kwa Kiswahili pia "Uhabeshi") ni nchi kwenye Pembe ya Afrika. Ni nchi ambayo ina historia ya pekee Afrika na hata duniani kwa ujumla. Ethiopia ni nchi pekee ya Afrika ambayo haikutawalwa na wakoloni na wala haikutwaliwa wakati wa Mng’ang’anio wa Afrika. Miaka ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia Ethiopia ilivamiwa na Waitalia.

Contents

[edit] Jina la nchi

Asili la jina "Ethiopia" haieleweki. Kuna maelezo mbalimbali lakina zote zinakosa uhakika. Hilo ni sawa pia kwa ajili ya jina la pili la kihistoria ya nchi ambalo ni "Habasha".

Ethiopia mara nyingi linaelezwa kuwa neno la Kigiriki cha Kale Αἰθιοπία Aithiopia lililotokana na Αἰθίοψ "Aithiops" ; maana yake "uso" (ὄψ) "kuwaka" (αιθw) hivyo labda "uso uliochomwa" ama sura nyeusi. Lakini jina hili halikumaanisha hasa nchi ya Ethiopia ya leo lakini nchi zote penye watu wenye rangi nyeusinyeusi. Kwa muda mrefu watu wa Ulaya waliita Afrika yote kwa jina "Ethiopia". Pia si wazi kama neno la Kiafrika lenye maana tofauti limechukuliwa na Wagiriki kwa maana ya neno lao la aithiops.

Nchi yenyewe ilijulikana kwa muda mrefu wa historia yake kwa jina la "Habasha". Habasha ikawa jina la Kiarabu kwa ajili ya nchi ikaingia kama "Uhabeshi" kwa Kiswahili au "Abesinia" katika lugha za Ulaya. Asili ya jina hili haliko wazi; wengine husema ya kwamba ni Kiarabu la kumaanisha "chotara"; wengine husema ni katika lugha ya kale ya nchi yenyewe kumaanisha "nchi kwenye nyanda za juu"; tena wengine wanadai ya kwamba jina limetoka Uarabuni wa kusini lilipokuwa jina la kabila pamoja likihamia na watu walioleta lugha za kisemiti Ethiopia.

Kumbukumbu ya Ethiopia kwa lugha ya kale ya Ge'ez yasema kuwa jina latoka kutoka mtoto wa Ham kwa jina la "'Ityopp'is" asiyetajwa katika Biblia. Kumbukumbu inadai kuwa yeye alijenga mji wa Aksum. Lakini habari hii si ya kihistoria ila tu jaribio mojawapo kuunganisha wafalme wa Aksum na historia ya Biblia.


[edit] Historia

Ufalme wa Aksum, ulikuwa milki ya kwanza kutawala Ethiopia, ulianza karne ya kwanza. Mhubiri wa dini, Mfasii Mani aliuweka Axum kwa utukufu, kama Roma, Milki ya Wajemi, na Uchina aliziweka milki hizi kama nchi zilizokuwa na nguvu duniani karne alioishi. Ilikuwa karne ya nne AD ambapo Syro-Mgrikiri alikuwa amepotelea baharini kutokana na kuzama kwa jahazi. Frumentius alishikwa na wahebeshi nakupelekwa kotini na badaye kumhawilisha mfalme Ezana kwa Ukristu. Kwahivyo wahebeshi wakampa jina "Abba Selama". Mara nyingi karne ya sita Axum ilitawala eneo ya Yemeni kwa kuvuka bahari ya sham.

Laini ya Utawala wa Aksumiti kutoka familia ya wafalme ilikatwa mara kadhaa: Kwanza na Myahudi Malkia Gudit karne ya 950, na tena na milki ya Zagwe . Kama karne ya 1270, ambapo milki ya suleimani iliweza kuitawala Ethiopia, kwa kudai wao ni dhuri kutoka wafalme wa Axum. Walijiita jina Neguse Negest ("Wafalme wa Wafalme," ama Wafalme), Walijitambulisha kama dhuri za Mfame wa Israeli, Sulemani na malkia wa uhebeshi ama Sheba.

Enzi ya Mfalme Lebna Dengel, Ethiopia iliweza kuasiliana na Nchi za Europa na kudumisha ubalozi na nchi kama, Ureno. Hii ilikuwa maedeleo makubwa, kwa sababu Ethiopia ilipovamiwa na Wasomali, Jenerali Imam, Ahmad ibn Ibrihim al-Ghazi (aliyeitwa "Grani", ama "Kushoto"), -Ureno ilimjibu Mfalme Lebna Dengel's, alipouliza usaidizi kwa kumtumia Jeshi ya wanaume 400, ambao walimsaidia Mtoto kijana wake Gelawdewos kamshinda vita Ahmad na kuimarisha uongozi wake. Lakini, Mfalme Susenyos alipohawili kwa Katoliki ya Kiroma, miaka ya 1622, chakari na misukosuko ilifuta. Yesuit Wamisheni wa dini, walifanya chuki na Waaminifu wa dini ya Ethiopia, na mwaka- karne 17 Susenyos mwana wa Mfalme Basil aliwafukuza wamisheni hao. Na baadaye Waoromo wakaanza kushuku amri ya Kanisa ya Ethiopia nakuanza kutafuta njia za Dini yao, eneo hii ya Uhebeshi.

Mambo haya yote yalifanya Ethiopia itengwe miaka ya karne 1700. Wafalme wakawa kama wakrugenzi, ambao waliamriwa na masharifu kama Ras Mikael Sehul wa Tigrinya. Ethiopia ilitoka kutoka utengo kwakufuatia misheni ya wingereza kufika Ethiopia na kukamilisha muungano kati ya nchi hizi mbili; lakini, hadi milki ya Tewodros II diyo Ethiopia ilianzatena shauri za Duni.

Mashujaa Ethiopia karne ya 1800
Mashujaa Ethiopia karne ya 1800

Karne ya 1880, hii ilikuwa miaka ya Europa kung’ang’a nia koloni Afrika ambapo Waitaliano na Waingereza walitafuta kutawala eneo ya Assab, bandari iliomo karibu na mdomo wa bahari ya sham. Bedari ya Kusini karibu na kiingiliyo cha bahari ya sham, ilinunuliwa na Waitaliano kutoka sultani mwenyeji, Machi 1870 ambayo mwaka wa 1882 ilileta ukoloni wa Eritrea. Haya yalizuzua mgombano kati ya Waithiopia na Waitaliano na kuzuka Vita vya Adowa mwaka 1896, ambapo Waithiopia walishtua Dunia kwa Kupiga nguvu za wakoloni na kulinda madaraka. Hii yote ilifanyika kwa uongozi wa Menelik II. Italia na Ethiopia walitia sahihi mkataba wa amani mwaka Oktoba 26, 1896.

Karne ya 20 miaka ya kwanza ilimilkiwa na Mfalme Haile Selassie I, aliechukua nafasi ya kuendeleza Ethiopia — na uongozi wake ukakatizwa kwa Utwaa wa Italiano (19361941). Britani na wazalendo wa Jeshi ya Ethiopian wakakomboa nchi mwaka wa 1941, na Waithiopia kupata madaraka na Wingereza kukiri madaraka ya Ethiopia kwa mkataba wa Wingereza na Ethiopia mnamo Disemba 1944.

Milki ya Haile Selassie ilikoma mwaka wa 1974, ambapo wazalendo waki-Sovieti Maksisti-Walenisti wanajeshi wali-chukua mamlaka "Derg", wali komisha na kuiweka serikali ya kikommunisti . Hii ilifwatiliwa na msukosuko wa kupendua serikali, vita na migogoro na hasa ukame, shida za wakimbizi . Mwaka wa 1977 Somalia iliivamia Ethiopia eneo ya Ogaden,- Vita via Ogaden, lakini Ethiopia iliweza kutwanga nyuma Wasomali walipopewa usaidizi na Sovieti kwa vifaa via kijeshi, na pia jeshi ya Kuba enyewe, Ujerumani ya mashariki na Jeshi ya Yemeni ilisaidia mwaka uliofuata. Usaidizi mwingi kutoka Nchi za Kikomunisti iliweka Ethiopia kudumisha moja wapo ya Jeshi kubwa Afrika. Lakini hii, haikuzuia Ukereketwa wa Mkoa wa Eritrea na Tigrinya/ Tigray, ambapo ukame wa mwaka 1985 na upendukizi wa siasa hasa kwa Kambi za Ujamaa, zilileta uongozi wa Derg 1991 kwa mkomo. Mkabala wakukomboa Eritrean (EPLF) na Mkabala Wapenduzi -Wakidemokrasi Ethiopia (EPRDF), ziliungana kukomboa Ethiopia, wengi wa wanamgambo wakiwa wakombozi wa Eritrea. Mwaka 1993, mkoa wa Eritrea ukawa na uhuru kutoka Ethiopia, kufuatia kura ya maoni iliofanywa ilikumaliza vita hii iliodumu miaka 20,mojawapo mgogoro wamuda zaidi Africa. Mwaka 1994, Ethiopia kaiweka Katiba mpya ambao ulileta uchaguzi wa Kidemokrasia. Mwaka 1998, mgombano wa mpaka na Eritrea ilileta Vita via Eritrean na Ethiopian ambapo vita hii ilidumu hadi Juni 2000. Vita hivi vilileta uvivu wa uchumi na guvu ya muungano unaongoza nchi. Mnamo Mai 15, 2005, Uchanguzi wa Ethiopia,2005, EPRDF ilitokea iking’ang’ania uongozi. Tareki za kwanza Juni na tena Novemba, polisi kwa amri ya EPRDF kafiatua risasi na kuua watu kwa maandamano yalikua yakibisha matokeo ya kura.

  • Ona pia: Wafalme na Viongozi wa Jimbo la Ethiopia

[edit] Siasa

Template:Tako Template:Uchaguzi ethiopia Uchaguzi wa Ethiopia unaendekeza wanabaraza kwa viti 547-Bungeni. Baraza hii ya bunge ilijumuika Juni 1994 na kuchukua katiba mpya la Jimbo ya Demokrasia ya jamhuri ya Ethiopia mnamo Disemba 1994. Uchaguzi huu ulikua wa kwanza kuchagua wanabaraza wakitaifa kwa sifa bungeni na wanabaraza wamajimbo mnamo Mai na Juni 1995. Vyama vingi vya upinzani viligoma kuunga uchaguzi. Ushindi ulichukuliwa na Mkabala Wapenduzi -Wakidemokrasi Ethiopia (EPRDF). Muungana wa kimataifa ukasema vyama via upinzani vingiweza kuunga uchaguzi kama zingiataka.International

Serikali ya Majimbo ya Demokrasia ya Jamhuri ya Ethiopia ilichukua mamlaka mnamo Agosti 1995. Rais wa kwanza Negasso Gidada. Na EPRDF-igaongoza serikali na Waziri Mkuu Meles Zenawi ambaye ameunga mkono majimbo ya kikabila, na kuwaba waongozi wakikabila amri. Ethiopia sasa inaeneo 9 ambazo zina serikali ya madaraka ya shirika ,nahata majimbo haya yanakubaliwa kutoza ushuru na kutumia akiba ya ushuru. Hii aina ya serikali imefanya Waithiopia kupata uhuru wa siasa lakini Uhuru wa idhaa na gazeti bado umefinyiliwa.

Serikali ya Zenawi ilichaguliwa tena mwaka 2000 kwa uchaguzi wa kwanza wa Kidemokrasia. Rais Girma Wolde-Giorgis.

Kutoka 1991, Ethiopia imetafuta urafiki zaidi na Marekani na Europa ya magharibiand, ilikuweza kukopa pesa za kusaidia uchumi wao na pia kutoka Banki ya Dunia. Mwaka 2004, serikali ilianza kuhamisha watu kutoka eneo za ukame wakisema hii itazuia njaa. [1].

Uchaguzi mwengine wa Ethiopia ulikua, Mai 2005, ambao ulivutia wapigakura kiasi cha juu zaidi, asilimia 90% ya wananchi waliojiandikisha kupiga kura. Washahidi wa Muungano wa Europa walidhani kwamba uchaguzi hajafikia kiwango cha kimataifa, Lakini Muungano wa Afrika katoa ripoti septemba 14, kwamba waithiopia walionyesha ujitokezi na hadabu ya kidemokrasiaWhile na Septemba 15 , US Carter Center, kasema matokezi ya uchaguzi yaaminika na yaonyesha ushindani wakisiasa. Uangalizi na ushuhudu wote ulimalizia kwamba kuranki Uchaguzi wa Ethiopia na kesi nyingine waipa, asilimia 64% ya motokeo mazuri, na vizuri zaidi kulingana na kesi nyingine 24%".

Wapinzani ama vyama vya upinzani, vililalamika kwamba EPRDF iliiba kura na kuwazisha wananchi na kusema baraza 299, wapata hitilafu ya uwizi wa kura. Hii maneno yote ilichunguzwa na Washahidi wa Uchaguzi wa kimataifa na pia Komisheni ya Uchaguzi Ethiopia. Matokeo ya uchunguzi huo kama haijatokea mnamo Juni 2005, wanafunzi wa chuo kikuu walianza maandamano wakisaidiwa na wanamgambo wa Muungano wa Vyama vya Upinzani. Lakini serikali kwa kutoa amri ya kukomesha uandamano, mnamo Juni 8, watu 26 waliuliwa mjini Addis Ababa kwa msukosuko wa uandamano na wengine wengi kushikwa.. Mnamo Septemba 5, 2005, Komisheni ya Uchaguzi Ethiopia, ilitoa matoke na kusema kwamba (EPRDF) Mkabala Wapenduzi -Wakidemokrasi Ethiopia kashinda Uchaguzi na kwahivyo waongoze serikali. Lakini vyama vya upinzani viliongezea viti bungeni kutoka 12 mbaka 176. Muungano wa umoja na demokrasi ulishinda viti vyote via Addis Ababa, kwa Bunge la Taifa na baraza la mtaala.

Mwandamano ulizusha tena mtaani Novemba 1, ambapo vyama via Upinzani viliitisha mgomo kwa jumla napia kwa Bunge mpya, wakatae matokeo ya uchaguzi. Polisi tena walijaribu kuzuia mwandamano huo na watu 42 wakafa kwamisukosuko mjini Addis Ababa.Polisi wasaba pia wa kafa na mwingine pia kafa kutokana na majeruhi ya mlipuko wa gruneti ya kurushwa. Tope la watu walishikwa na kufungwa kwa jela kadhaa nchini. Februari 2006 watu elfu sita bado walikua jela wakingoja hukumu machi.

Mnamo 14 Novemba, Bunge ya Ethiopian ilipitisha mkataba kuimarisha Komisheni yenye huru na kuchunguza visa vya Juni 8 na Novemba tarehe 1 na tarehe 2. Februari 2006 Waziri mkuu wa Wingereza Tony Blair, aliitikia kwamba, EPRDF kashinda kura, lakini angiataka kuona Ethipia ikitatua shida zao wenyewe na waendelee na jia ya demokrasia. [2].

Ona pia: Uhusiano wa kigeni wa Ethiopia

[edit] Mikoa ya Uamuru

Tako la Kifungu: Kasa-divisheni za Ethiopia Ethiopia imegawa na EPRDF kwa eneo 9 za amri ya kikabila Jimbo jina- (kililoch; umoja: kilil), 68 Eneo. Majimbo zatimiza:

  • Afar
  • Amhara
  • Benishangul-Gumaz
  • Gambela
  • Harari
  • Oromia
  • Somali
  • Taifa za kusini, Taifa/Jimbo la Kabila
  • Tigray

Nakuongezea; kuna eneo za miji mbili (astedader akababiwoch, umoja: astedader akababi): Addis Ababa na Dire Dawa.

[edit] Jiografia

Tako la Kifungu: Jeografia ya Ethiopia

Map of Ethiopia
Map of Ethiopia

Ethiopia ni 1,127,127 mraba kilomita (435,071 mraba - mili) kwa eneo, Na nchi yenyewe ni moja wapo ya nchi za Pembe ya Afrika hasa upanda wa mashariki. Nchi zinazo pakana na Ethiopia ni Sudani magharibi, jibouti na Eritrea kaskazini, Somalia mashariki, na Kenya upande wa kusini. Nchini Ethiopia kuna milima na milima iliogawa na Bonde la Ufa, ambayo imepasua kutoka kusini - magharibi kwenda kaskazini – mashariki na kuzungukwa na jagwa la mapori eneo zilizo chini. Mabonde na milima hasa nchini Ethiopia za athimu hali ya anga, udongo, mimea, na makazi ya watu. Ukweo wa milima na eneo ya Jeografia ya toa ainambili za hali ya anga: Eneo iliopoa ikozaidi wa ukweo 2,400 mita(7,900 ft) ambapo vipimo vya joto ni kati ya kuganda na 16°C (32°–61°F); Vipimo vya joto kwa ukweo 1,500 na 2,400 mita (4,900—7,900 ft) joto ni 16°C to 30°C (61°–86°F); Joto zaidi ni chini ya 1,500 mita (4,900 ft) ni anga ya tropikana na anga ya Ukame na Joto saa za mchana ni 27°C mbaka 50°C (81°–122°F). Mvua ya kawaida ni kutoka kati ya Juni mbaka kati ya Septemba lakini (eneo ya milima ya kusini hunyesha zaidi) ikianzia na mvua kidogo ya Februari ama Machi.

Ethiopia ni nchi ambayo ina - Ikolojia tambakazi. Ziwa Tana ambayo iko kaskazini mwanchi dio mwanzo wa [[Mto bluu anil barazraki / (kiarabu, bahr al zraq). Hii eneo wa mto huu barazraki ina aina yawanyama tafauti kama, Gelada - nyani, na Walia ibeka napia Umbwa mwitu.

[edit] Uchumi

Woman coffee farmer with basket of coffee beans in Ethiopia
Woman coffee farmer with basket of coffee beans in Ethiopia

Tako la Kifungu: Uchumi wa Ethiopia Ethiopia imebaki kama nchi moja ya kiafrika fukara: Waithiopia wengi wapewa chakula ya usaidizi kutoka ng’ambo.

Baada ya upiduzi mnamo 1974, uchumi wa Ethiopia ulikua uchumi wa ujamaa: amri ya uchumi iliwekwa na jimbo, na upande mkubwa wa uchumi uliwekwa kwa jamii, kutoka viwanda vyote viakisasa, ukulima wa kibiashara, taasisi za kukopesha na mashamba yote na mali yote ya kukomboa. Kutoka kati ya - 1991, uchumi ulianza kutolewa kutoka ujamaa na kuendekeza uchumu wa soko, serikali inasisitiza uchumu wa rasilimali, ambayo umetengenezwa kuzuia uvivu wa uchumi kama amri ya ujamaa. Mwaka 1993, Ufaragha wa kampuni kaanza, viwanda, mabenki, ukulima, biashara za dani na biashara za kimataifa.

Ukulima ni karibu asilimia 41% ya chumo cha uchumi (GDP), ambayo ni asilimia 80 ya biashara ya kimataifa, na asilimia 80 ya wananchi wa faidika na ukulima. Mambo mengi ya biashara hutegemea ukulima, wauzaji, viwanda vya kufunganya na kuuza nje mavuno ya ukulima. Mavuno ya Ukulima ambayo ya uzwa nje mengi ya tolewa na wakulima wa kiasi binafsi. Watoa kahawa, nafaka ya kilala nugu (hasa., maharagwe), mbegu za mafuta, nafaka, viazi, miwa, na mboga. Biashara ya Nje hasa yote ni ya kuuza vyumo vya ukulima, kahawa ikiwa ndio inaleta pesa nyingi za kigeni. Umma wa Mifugo ya Ethiopia, imeaminika kuwa ndio kubwa zaidi Afrika. Mnamo 1987 iliesabika kua asilimia 15 ya chumo cha uchumi ni kutokana na mifugo.

[edit] Watu

A gari in Adama (Nazareth), Ethiopia
A gari in Adama (Nazareth), Ethiopia

Tako la Kifungu: Watu wa Ethiopia

Umma wa Ethiopia ni wa kabila na utamaduni tafautu - tafauti. Watu wengi huongea shamu|lugha za shamu na kushi|lugha za kushi. WaOromo, WaAmhara, na WaTigray|Tigranya nizaidi ya 75 asilimia ya umma. Ethipia inakabila nyingi tafauti zaidi ya 80, kabila nyingine zina watu wadogo kiasi kama 10,000. Waithiopian ambao wanaongea lugha za shemu (na pia WaEritrea kwa jumla wasisitiza kujulikana kama Habesha ama Abesha kwa kiswahili ni “Hebeshi” wengine waikataa jina hii nakusema yasimamia kabila moja. [3]. Kwa Kiarabu jina hii hebesha ni "Abyssinia," jina ya kale ya Ethiopia. [4]

Ufalme wa Aksum ulikua milki na nchi ya kwanza kukubali Ukristu, ambapo Walii Frumentius wa Taya alimhawili Ezana wa Aksum karne ya nne CE. Uisilamu Ethiopia unapatikana kutoka karne ya mwanzo wa Islam; ambapo Nabii Muhammad aliwaambia waisilamu waepuke kuuliwa Mecca kwa kusafiri Abyssinia, ambayo ilitawaliwa na Mfalme Mkristu. Nahata utamaduni wa Kiislamu wasema kwamba Bilal, mfuwasi wa Nabii Muhammad, alikua ametoka kutoka Ethiopia. Wayahudi, ambao waitwa Beta Israeli (falashhasha), Waishi Ethiopia karne nyingi, wengi wao uhamia Israeli hasa kwa karne ya sasa. Kuna tamaduni za waafrika hasili kwa eneo za kiafrika napia Wakristu wengi waishi kwa milima, na Waislauslimu na Wafrika asili wengi waishi kwa eneo za bonde .

[edit] Lugha

Tako la Kifungu: Lugha za Ethiopia.

Ethiopia ina lugha 84 indigenous languages za kienyeji. kama:

  • Kiafar
  • Kiamhara
  • Kianfillo
  • Kiberta
  • KiBussa
  • Kige'ez
  • Kikonso
  • Kiongota
  • Kioromo
  • KiRer Bare
  • Kisaho
  • Kisoddo
  • Kisilt'e
  • Kisomali
  • Kitigrigna
  • Kiweyto
  • Kihadiya
  • [Lugha ya Harari|Kiharari]]

Kiingereza Ndio lugha moja wapo ya kigeni kuongewa zaidi na kufunzwa shule ya upilii. Kiamhara ilikua lugha ya ufunzi shule ya msingi lakini imegeuzwa sehemu nyingi na Kioromo na Tigrinya.

[edit] Utamaduni

[[Image: Ethiopian_Painting_2005_SeanMcClean.JPG|thumb|right|300px| Mtweta who wa ngozi waonyesha Kanisa ya Ethiopia mhubiri yuacheza Fataki na [[goma].]] Tako la Kifungu: Utamaduni wa Ethiopia

Mnamo Epro 2005, Mnara wa Axum, Mojawapo ya dafina za kidini Ethiopia, karudishwa na Waitaliano. [5]. Jeshi la Waitaliano lilinyakua mnara huo mnamo 1937 na kuupeleka Roma. Italia baadaye kakubali kurudisha mnara mnomo 1947 kulingana na mkataba wa Umoja wa Kimataifa.

Ethiopia dio Nyumba ya kiroho ya Mwendo wa Rastafari, ambao waamini Ethiopia ni Zion. WaRastafari wamuona Mfalme Haile Selassie I kama Yesus.

  • Chakula za Ethiopia
  • Miziki ya Ethiopia
  • Uislamu Ethiopia
  • Waminina wa Dini ya Ethiopia, kanisa yaTewahedo
  • P'ent'e

[edit] Sikukuu

Ona pia: Kalenda ya Waithiopia

Tarehe Jina za Kiswahili Jina za waenyeji Maelezo
Januari 7 Waminina Siku ya Krismasi Genna  
Januari 10 Siku kuu ya sadaka 'Id al-Adha ya tegemea; tarehe ya 2006
Januari 19 Siku kuu ya Epifani Timket  
Machi 2 Siku ya Adwa Ye'adowa B'al  
Aprili 11 Birthday of The Prophet Muhammad Mawlid an-Nabi ya tegemea; this date is for 2006
Aprili 21 Waminina Ijumaa ya pasaka Siqlet (kusulubiwa) ya tegemea; tarehe ya 2006
Aprili 23 Waminina Pasaka Fasika varies; tarehe ya 2006
April 24 Jumatatu ya pasaka (siku kuu)   varies; tarehe ya 2006
Mai 1 Siku ya Wafanyakazi Kimataifa    
Mai 5 Siku ya wazalendo Arbegnoch Qen  
Mai 28 Siku ya Taifa   Kuanguka kwa Derg
Agosti 18   Buhe  
Septemba 11 Mwaka mpya wa Ethiopia Inqut'at'ash  
Septemba 27 Kutafuta Msalaba Halisi Meskel  
Oktoba 24 Mwisho wa Mwezi takatifu wa Ramadhani 'Id al-Fitr ya tegemea; tarehe ya 2006

[edit] Michezo

Ethiopia ni nchi moja wapo inayotoa wanamchezo wazuri zaidi Duniani, hasa kama wa kimbiaji wa masafa ya kati na masafa marefu. Kenya na Morocco ni wapinzani wa Ethiopia kwa Mabingwa wa Dunia na Olimpiki kwa masafa ya kati na marefu. Machi 2006, Waithiopia wawili walitamalaki mbio za masafa marefu, kwa jina wakiwa: Haile Gebreselassie (Bingwa wa Dunia na Olimpiki) alievunja rekodi 10 na sasa pia kilomita 20, nusu mbio za masafa marefu, na rekodi ya kilomita 25, na kijana Kenenisa Bekele (bigwa wa, Dunia, mbio za majira (bara) , na pia bigwa wa olimpiki), anaye shikilia 5,000m na 10,000m Rekodi za Dunia. Huko nyuma Ethiopia ilitoa mwanariadha maarufu katika historia ya mchezo huu duniani, Abebe Bikila.

[edit] Vifungu kiwazowazo

  • Orotha ya kampuni za Ethiopia
  • Jeshi ya Ethiopia
  • Wafalme wa Ethiopia
  • National parks in Ethiopia
  • Mawasiliano Ethiopia
  • Transportation in Ethiopia
  • Chama cha skauti Ethipia
  • Shule kuu Ethiopia

[edit] Mishikano ya nje

Mashirika za usaidizi

Serikali

Habari

Masomo

Dafina za Ethiopia- Historia, Utamaduni, Lugha, Dini - Ethiopia]

Maelekezo

Utalii

Lugha

Other


Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia

Static Wikipedia (no images)

aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - en - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu -

Static Wikipedia 2007 (no images)

aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - en - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu -

Static Wikipedia 2006 (no images)

aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu

Static Wikipedia February 2008 (no images)

aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - en - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu