Uganda
From Wikipedia
|
|||||
Wito: For God and My Country |
|||||
Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
Mji Mkuu | Kampala | ||||
Aina ya Serikali | Jamhuri | ||||
Raisi | Yoweri Kaguta Museveni | ||||
Waziri Mkuu | Apolo Nsibambi | ||||
Eneo | 241.548 km² | ||||
Wakazi | 27.269.482 (Julai 2005) | ||||
Wakazi kwa km² | 113 | ||||
Uhuru | 9. Oktoba 1962 | ||||
Pesa | Shillingi ya Uganda | ||||
Wakati | UTC+3 | ||||
Wimbo ya Taifa | Oh Uganda, Land of Beauty | ||||
Namba ya simu ya kimataifa | +256 |
Uganda ni nchi ya Afrika ya Mashariki. Imepakana na Kenya upande wa mashariki, Sudan upande wa kaskazini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo upande wa Magharibi, Rwanda na Tanzania upande wa kusini. Uganda ina sehemu kubwa ya ziwa la Viktoria Nyanza ikipakana hapo na Kenya na Tanzania.
Jina la Uganda lina asili yake katika ufalme wa Buganda uliopo katika kusini ya nchi pamoja na mji mkuu Kampala.
Uganda ni nchi mwanachma wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki.
[edit] Miji ya Uganda
Nchi za Afrika | |
---|---|
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia |
Makala hiyo kuhusu "Uganda" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Uganda kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |