Kamerun
From Wikipedia
Jamhuri ya Kamerun République du Cameroun Republic of Cameroon |
|||||
|
|||||
Hadabu ya Taifa Paix, Travail, Patrie (Kifaransa: Amani, Kazi, Nchi ya Baba | |
|||||
Lugha ya Taifa | Kifaransa, Kingereza | ||||
Mji Mkuu | Yaoundé | ||||
latm=52 |latkas,kus= N|longd=11 |longm=31|longmag,mas=Mas | |||||
Mji Mkubwa | Douala | ||||
Raise wa Kamerun Waziri mkuu wa Kamerun |
Paul Biya Ephraïm Inoni |
||||
Eneo - Jumla -Maji -Eneo ya kadiriwa |
475,440 km² 1.3% Kadiriwa 52 duni |
||||
Umma - Kadiriwa - Sensa, - Umma kugawa na Eneo (kilomita) |
16,380,005 Kadiriwa 59 duni sensa (2003) ; 34/km² ([[Orotha ya nchi kulingana na eneo kwa umma| 138 duni]) |
||||
Chumo cha uchumi - Jumla - kwa kipimo cha umma |
$32.35 Billioni ((91 ) kadir) $2,176 140 duni |
||||
Uhuru - Kadirifu - Barabara |
Kutoka Ufaransa, Wingereza January 1, 1960< |
||||
Fedha | CFA frank (XFA) | ||||
Saa za Eneo | UTC +1 | ||||
Wimbo wa Taifa | Chant de Ralliement wimbo wa faraja | | ||||
Intaneti TLD | .cm | ||||
kodi za simu | 237 |
Jamhuri ya Kamerun ni Jamhuri ya umoja katika Afrika ya Magharibi. Imepakana na Nigeria, Chadi, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Jamhuri ya Kongo, Gabon, Guinea ya Ikweta na Guba ya Guinea.
Kamerun ilikuwa koloni la Ujerumani hadi Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia. Baada ya Ujerumani kushindwa vita nchi ikagawiwa kati ya Uingereza na Ufaransa chini ya mamlaka ya Shirikisho la Mataifa kama eneo la kukabidhiwa. Mwaka wa 1960, Ufaransa waliacha Kamerun ikawa nchi huru, na kuungana na eneo la Kamerun ya Uingereza mwaka 1961 kuunga kwa Shirikisho la Jamhuri ya Kamerun. Na baadaye kubadilisha jina kwaJamhuri ya Muungano ya Kamerun mwaka wa 1972, na baadaye ikawa Jamhuri ya Kamerun ama kwa KifaransaRépublique du Cameroun mwaka wa 1984. Lugha rasmi na lugha ya taifa ni Kingereza na Kifaransa).
Ukilinganisha na nchi zingine za Kiafrika, Kamerun ina msimamo wa umoja wa kisiasa na hali ya kiuchumi ambayo imeruhusu maendeleo ya Kilimo, na Reli, na pia mitambo mikubwa ya Viwanda vya Mafuta.
Contents |
[edit] Historia
Tako la Kifungu: Historia ya Cameroon
[edit] Siasa
Template:Tako
[edit] Eneo za Kiserikali
Tako la Kifungu: Mikoa ya Kamerun, Idara za Kamerun
Kamerun imegawanyika katika mikoa 10 na wilaya 58 ambazo zinaitwa (départements). Mikoa ni: Mkoa wa Adamawa, Mkoa wa kati, Mkoa wa mashariki, Mkoa wa kaskazini Zaidi, Mkoa wa Littoral, Mkoa wa Kaskazini, Mkoa wa Kaska-magharibi, Mkoa wa Magharibi, Mkoa wa Kusini, na Mkoa wa Kusini-magharibi.
Wilaya zinazoitwa (départements): Ona Wilaya za Cameroon
[edit] Jiografia
Template:Tako
[edit] Eneo
[edit] Mito
[edit] Madini
[edit] Uchumi
Template:Tako
Bishara ya vifaa Afrika.
[edit] Watu
Tako la Kifungu: Watu wa Kamerun
[edit] Utamaduni
Main article: Culture of Cameroon
See also: Music of Cameroon, Cuisine of Cameroon, List of writers from Cameroon
[edit] Elimu
Tako la Kifungu: Elimu Cameroon
[edit] Shauri kiwazowazo
- Kanisa ya Katoliki, Kamerun
- Mawasiliano Kamerun
- Mambo ya kigeni, Kamerun
- Orotha ya shauri za kamerun
- orotha ya miji Kamerun
- Jeshi ya kamerun
- usafirishaji Kamerun
- Chama cha Wanaskauti Kamerun
[edit] Viungo via nnje
Template:Viungo vingine
Elimu
- [http://www.vkii.org (Chama cha Wakamerun cha wanainjinia na wana sayansi za compyuta)
Serikali
- (Urais wa Nchi ya Kamerun Makala rasmi ya serikali
- (bunge ya kamerun makala rasmi
Habari
- allAfrica - Cameroon viungo via habari
- CRTV - Cameroon Radio Television ya serikali
- The Post – Ngazeti yenye sifa, inayochapwa hiko Buea
- Le Messager Ngazeti ya kibinafsi (kwa kifaransa)
- Radio Siantou Rado (kwa kifaransa na kingereza)
uchambuzi
Kabila na Ukoo
- Baka Pygmies of Cameroon Utamaduni na miziki ya watu wa Kamerun
- Anthropological researches in Cameroon Fieldwork among Cameroonian populations
- The Bamileke people of Cameroon
- The Bakweri Watu wa Kamerun iliokuwa koloni ya wingereza.
Directories
- CMCLICK Online! Cameroon Portal - Cameroon Cameroon Internet Community. Cameroon Business Directory. Cameroon Information. Cameroon Culture.
- Open Directory Project - Cameroon directory category
- Stanford University - Africa South of the Sahara: Cameroon Maelezo kuhusu Afrika, kusini mwa Sahara.
- University of Pennsylvania - African Studies Center: Cameroon directory category
- Yahoo! - Cameroon uelekezo, kamerun
Utalii
- Template:Wikisafiri
- Cameroon tourism Picha kuhusu utalii kamerun
- Cameroon In Colour (Picha za Kamerun.makala za picha za kamerun). Images of Cameroon. Cameroon Photos.
Nchi za Afrika | |
---|---|
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia |