Zimbabwe
From Wikipedia
|
|||||
Hadabu ya Taifa Unity, Freedom, Work (Kiingereza: Umoja, Uhuru, Kazi) " | | |||||
Image:ZimbabweWorldMap.png | |||||
Lugha ya Taifa | Kiingereza | ||||
Mji Mkuu | Harare | ||||
Mji Mkubwa | Harare | ||||
Rais | Robert Mugabe | ||||
Eneo - Jumla -Maji -Eneo ya kadiriwa |
390,580 km² 1% Kadiriwa 59 duni |
||||
Umma - Kadiriwa - Sensa, - Umma kugawa na Eneo (kilomita) |
12,576,742 Kadiriwa 66 duni (2003) ; 32/km² ; [[Orotha ya nchi kulingana na eneo kwa umma| duni] |
||||
Chumo cha uchumi - Jumla - kwa kipimo cha umma |
$24.99 billion (( ) kadir) $2,100 (( )) |
||||
Uhuru - Kadirifu - Barabara |
(kama, Rhodesia) Novemba 11, 1965 (kama Zimbabwe) Aprili 18, 1980 |
||||
Fedha | Dola, Zimbabwe (Z$)| | ||||
Saa za Eneo | UTC +2 | ||||
Wimbo wa Taifa | |||||
Intaneti TLD | .zw | ||||
kodi za simu | 263 |
Jamhuri ya Zimbabwe (iliojulikana kama Rhodesia) ni nchi bara upande wa kusini kwa Bara la Afrika, kati ya mto Zambezi na mto Limpopo. Imepakana na Africa ya Kusini upande wa kusini, Botswana magharibi, Zambia kaskazini-mashariki, na upande wa mashariki imepakana na Musumbiji. Jina Zimbabwe latoka kutoka jina "dzimba dzamabwe" kumaanisha "nyumba ya mawe" kwa lugha ya Kishona. Nyumba hii ya mawe, ilioitwa Zimbabwe ambayo imehifadhiwa kama eneo ya kihistoria, ilikua Milki ya Mwenemtaba ambaye ufalme wake uliongoza eneo hii miaka ya kale. [[Image:Zimbabwe.geohive.gif|thumb|420px|right|Mikoa].
Contents |
[edit] Eneo
Tako la Kifungu: Mikoa ya Zimbabwe, Wilaya za Zimbabwe
Zimbabwe imegawa kwa Mikoa 8 na miji mbili zikiwa na cheo cha Mikoa. Imegawa zaidi kwa Wilaya 59 na munisipaa 1,200.
Mikoa ni Bulawayo (mji), Harare (mji), Manicaland, Mashonaland ya kati, Mashonaland ya Mashariki, Mashonaland magharibi, Masvingo, Matabeleland ya kaskazini, Matabeleland kusini, na Eneo ya Kati (midlands).
Wilaya: ona Wilaya za Zimbabwe
Munisipali: ona Munisipa za Zimbabwe
[edit] Utamaduni
Tako la Kifungu: Utamaduni wa Zimbabwe
- Miziki ya Zimbabwe
- Orotha ya waandishi wa Zimbabwe
- Reps Theatre - local theatre company
- Over the Edge - local theatre company
- Miziki ya Shona
[edit] Tako kiwasowaso
- Mawasiliano Zimbabwe
Mawasiliano ya Simu, mitambo yake yaendeshwa na (Tel-One0, kampuni ya serikali. Kuna kampuni 3 za (simu za mkononi): Econet Wireless, Net*One na Telecel.
- Mambo ya kigeni Zimbabwe
- Utekelezaji wa Arthi, Zimbabwe
- Orotha ya miji Zimbabwe miji minne Zimbabwe
- Bulawayo mji wa pili kwa ukubwa
- Harare mji mkuu
- Masvingo
- Mutare
- Jeshi ya Zimbabwe
- Jina za eneo Zimbabwe
- Wana Habari bila mpaka Orotha ya uhuru kwa waadishi habari 2004: ranki 155 kwa nchi 167 .
- Usafirishaji Zimbabwe
- The Interpreter kiswa(mfasiri), Cinema ya mwakaa 2005 ambayo ya onyesha kiongozi chuku wa nchi Afrika, ambaye ya muadhiri Robert Mugabe, akitafuta kuepuka mahakama ya kimataifat ilioamrishwa na baraza ya kimataifa ya kuhifadhi amani ili kumuhukumu kwa Hatia za kibinadamu.
- chama cha wana skauti wa Zimbabwe
[edit] Uchambuzi
[edit] Viungo via nnje
[edit] Serikali
- Parliament of Zimbabwe kifungu rasmi
- Zimbabwe Government Online kifungu rasmi cha serikalimirror site
[edit] Habari
- Ardhi na siasa-BBC usanifu wa utekelezaji wa arthi.
- [1] Zimbabwe destruction: (hadithi ya mtu mmoja)
- New Zimbabwe UK-Based independent daily newspaper
- AllAfrica.com - Zimbabwe news headline links
- IFEX - Zimbabwe press freedom violations
- The Sunday Mirror weekly newspaper
- Zimbabwe Independent weekly newspaper
- The Zimbabwean UK-based independent weekly newspaper (gazeti ya wiingereza)
- The Herald State-owned daily newspaper
- Zimbabwe Situation A comprehensive collection of news stories concerning Zimbabwe from different sources
- Haikona! Zimbabwe News Blog Taarifa ya habari Zimbabwe
[edit] Wanamgambo
[edit] Mielekezo
- (Chuo kikuu cha kolombia - Zimbabwe maelekezo ya WWW-VL
- Open Directory Project - Zimbabwe maelekezo
- Stanford University - Afrika kusini mwa Sahara: Zimbabwe maelekezo
- Yahoo! - Zimbabwe maelekezo
[edit] Utalii
- Template:Wikisafiri
- Travel Overview of Zimbabwe
- Facts about Zimbabwe
[edit] Nyingine
- Amnesty International (Zimbabwe)
- Dariro (makala ya kutafuta vifungu vya Zimbabwe)
- Chronology Foundations Of Zimbabwe
- itsbho.com Leading Zimbabwean entertainment website
- RSF report on Zimbabwe from 2003
- Writers of Zimbabwe – (makala ya muadishi kwa waadishi wa Zimbabwe)
- Zimbabwe Human Rights NGO Forum-(haki za kibinadamu)
- ZIMBABWE (viungo via taarifa)
- "Dead Capital" in Zimbabwe
- 5 year archive of Zimbabwe news updated daily
- Zimbabwe Crisis Habari za kuazua zilizo chapishwa wakati wa kura mnamo 2000.
- ZimFest Miziki ya Zimbabwe kila mwaka, Marekani kaskazini.
- Zimbabweb lango la taarifa Zimbabwe
- zwnews Lango la habari Zimbabwe
- Economic Development Bulletin (Maelezo ya maedeleo ya uchumi) kupoteza haki ya mali Zimbabwe na udhoofu wa uchumi.
- Cato Journal Kifungu cha kuanguka kwa nchi ya Zimbabwe
- Center for Global Development (senta ya maedeleo ya dunia) garama na mwanzo wa misukosuko Zimbabwe.
Nchi za Afrika | |
---|---|
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia |