Pakistan
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Iman, Ittehad, Tanzim (Kiurdu: "Imani, Umoja, Nidhamu") |
|||||
Wimbo wa taifa: Pak sarzamin shad bad | |||||
Mji mkuu | Islamabad |
||||
Mji mkubwa nchini | Karachi | ||||
Lugha rasmi | Kiurdu, Kiingereza | ||||
Serikali
Rais Waziri Mkuu |
Jamhuri ya Kiislamu Shirikisho la Jamhuri Pervez Musharraf Shaukat Aziz |
||||
Uhuru Abbasiya Dola la Ghazni Ufalme wa Ghor Usultani wa Delhi Dola la Moghul imetangazwa Jamhuri |
kutoka Uingereza 711-962 962–1187 1187-1206 1210-1526 1526-1707 14 Agosti 1947 March 23, 1956 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
880,254 km² (ya 34) 3.1 |
||||
Idadi ya watu - 2004 kadirio - Msongamano wa watu |
163,985,373[1] (ya 6) 211/km² (ya 53) |
||||
Fedha | Rupia (Rs.) (PKR ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
PST (UTC+5:00) haipo (UTC+6:00) |
||||
Intaneti TLD | .pk | ||||
Kodi ya simu | +92 |
Pakistan ni nchi ya Asia ya Kusini. Imepakana na Ghuba ya Uarabuni upande wa kusini, Afghanistan na Uajemi upande wa magharibi, Uhindi kwa mashariki na Uchina kwenye kaskazini-mashariki.
Mipaka yake na Uhindi na Uchini haitambuliki kimataifa. Pakistan na Uhindi zote mbili zinadai eneo la Kashmir zikitawala kila moja sehemu za eneo hili.
Pakistan ina nafasi ya sita kati ya nchi duniani zenye watu wengi. Ni nchi yenye Waislamu wengi duniani baada ya Indonesia.
Pakistan ilikuwa sehemu ya Uhindi wa Kiingereza hadi 1947 ikapata uhuru wake katika vita ya mgawanyiko wa Uhindi. Wakati ule ilikuwa nchi moja pamoja na Bangla Desh ya leo.
Jina la Pākistān lina maana ya "nchi ya watu safi" kwa Kiurdu.
Kuna majimbo manne ya Punjab, Sindh, Jimbo la mpaka wa kaskazini-magharibi and Baluchistan.
Template:Asia
Makala hiyo kuhusu "Pakistan" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Pakistan kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |