Kopenhagen
From Wikipedia
|
|
Eneo - Mji - Mkoa wa Jiji |
88 km² 455.61 km² |
Wakazi (2006-01-01) - Mji - Mkoa wa Jiji - Msongamano (mji/jiji) |
501,158 1,115,035 5695/km² / 2447/km² |
Kanda la wakati | Ulaya ya Kati: UTC+1 |
Latitudo Longitudo |
55°43' N 12°34' E |
Kopenhagen (Kidenmark: København = "Bandari ya wafanya biashara") ni mji mkuu wa Denmark pia mji mkubwa wa nchi na kitovu cha utawala, uchumi na utamaduni.
Contents |
[edit] Jiografia
Kopenhagen iko Zealand (Sjælland) ambacho ni kisiwa kikubwa cha Denmark. Iko karibu na mji wa Malmo katika Uswidi ulio ng'ambo ya mlango wa bahari ya Oresund unaounganisha bahari ya Baltiki na Kattegat kuelekea Bahari ya Kaskazini. Sehemu ndogo ya mji iko kwenye kisiwa cha Amager.
Eneo la Kopenhagen lina miji ya Kopenhagen penyewe (wakazi 501,158), Frederiksberg (wakazi 91,855), Gentoftev (wakazi 68,623) na wakazi wengine 453,399 katika miji midogomidogo ndani ya wilaya ya Kopenhagen.
[edit] Mahali pa Kopenhagen panapopendekeza
- Palais Amalienborg
- Bakken
- Christiania
- Christiansborg
- Copenhagen Zoo
- Makumbusho ya Sanaa ya Denmark
- Bustani ya Wanyama
- Kanisa la St Alban
- Jumba la Frederiksborg
- Jumba la Kronborg
- Nguva Mdogo
- Makumbusho wa kitaifa
- Bustani ya Tivoli
- Opera ya Kopenhagen
[edit] Watu mashuhuri wenye uhusiano na Kopenhagen
- Hans Christian Andersen - mshairi (karne ya 19)
- Arne Jacobsen - msanifu majengo (karne ya 20)
- Niels Bohr - mwanafizikia na mshindi wa tuzo ya Nobel (karne ya 20)
- Tycho Brahe - mwanafalaki (karne ya 16)
- Nicolai Grundtvig - mchungaji, mwanatheologia, mwalimu (karne ya 19)
- Søren Kierkegaard - mwanafalsafa na mwanatheologia (karne ya 19)
[edit] Viungo vya Nje
}