Pemba (kisiwa)
From Wikipedia
- Makala hii inahusu Kisiwa cha Pemba. Jina linatumika pia kwa ajili ya Pemba katika Msumbiji na Pemba wilaya pamoja na mji huko Zambia.
Pemba ni kisiwa kilichopo takriban 50 km kaskazini ya Unguja katika Bahari Hindi. Zote mbili ni sehemu za Jamhuri ya Watu wa Zanzibar katika Tanzania. Umbali na Tanganyika au Tanzania bara ni tena 50 km.
Pemba pamoja na visiwa vidogo karibu nayo ina wakazi 360,797 katika eneo la 980 km². Pemba kuna miwili ya mikoa 26 za Tanzania.
Miji muhimu wa Pemba ndiyo Chake Chake, Mkoani na Wete.
Uchumi wa Pemba ni hasa kilimo pamoja na uvuvi. Mazao ya sokoni hulimwa hasa karafuu.
Katika utamaduni wa Pemba kuna desturi ya kipekee katika Afrika ndiyo mchezo wa ng'ombe iliyorithiwa na Wareno walipokuwa na atahri kisiwani karne zilizopita.
[edit] Viuongo vya nje
- (en)zanzinet.org
- (en)Takwimu ya Zanzibar
|
|
---|---|
Arusha | Dar es Salaam | Dodoma | Iringa | Kagera | Kigoma | Kilimanjaro | Lindi | Manyara | Mara | Mbeya | Morogoro | Mtwara | Mwanza | Pemba Kaskazini | Pemba Kusini | Pwani | Rukwa | Ruvuma | Shinyanga | Singida | Tabora | Tanga | Unguja Kaskazini | Unguja Kusini | Unguja Mjini Magharibi | |