Piramidi
From Wikipedia
Piramidi ni moja ya Maajabu ya Dunia ya kale. Piramidi ni kati ya majengo makubwa kujengwa na binadamu. Ingawa jamii za kale katika maeneo mbalimbali ya dunia zilijenga piramidi, piramidi za Misri ndizo zinazofahamika na watu wengi duniani.
Makala hiyo kuhusu "Piramidi" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Piramidi kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |