Henri Bergson
From Wikipedia
Henri Bergson (18 Oktoba, 1859 – 4 Januari, 1941) alikuwa mwanafalsafa na mwandishi kutoka nchi ya Ufaransa. Mwaka wa 1927 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.