1941
From Wikipedia
[edit] Matukio
[edit] Waliozaliwa
- 13 Oktoba - Paul Simon (mwanamuziki)
[edit] Waliofariki
- 4 Januari - Henri Bergson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1927)
- 21 Februari - Frederick Banting (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1923)
- 5 Machi - Ludwig Quidde (mwanasiasa Mjerumani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1927)
- 7 Agosti - Rabindranath Tagore (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1913)
- 14 Agosti - Maximillian Kolbe
- 12 Septemba - Hans Spemann (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1935)