Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Dini - Wikipedia

Dini

From Wikipedia

Dini (kutoka Kiarabuاﻟدﻴن tamka ad-din) inamaanisha jumla ya imani ya watu pamoja na mafundisho kuhusu yale wanayoangalia ama kusadiki, yaani kiroho au kuhusiana na Mungu; maisha na uumbaji.

Ibada ni nguzo mojawapo iliyo dhahiri miongoni mwa dini kadhaa; katika kuunganisha dhamira za mwenye kushika dini na mhimili wa imani, lakini dini inahusu pia mafundisho kuhusu maadili, mema na mabaya, imani na jinsi gani kushiriki katika jumuiya za waumini.

Kwa maana nyingine "dini" inataja jina kielelezo juu ya aina mbalimbali za imani jinsi inavyopatikana duniani au jumuiya za kidini.

Dini kwa maana hiyo yenye wafuasi wengi duniani ni:


Dini kwa kipindi kirefu cha maisha ya mwanadamu imekuwa kitovu cha ustaarabu wa jamii husika. Hivyo kadri jamii inavyobadilika ndivyo mambo mengi huongezwa ama kutolewa katika mapokeo yake ili hali kuakisi mazingira ya nyakati.


Katika wakati wa sasa, kumekuwepo kwa jitihada mbali mbali zinazopokea na kuchunguza misingi ya Dini na maisha katika sura ya kisomi na hata kiudadisi.

Kuna Masomo mbalimbali amabayo huangalia na kuchunguza dini kwa kutumia mbinu za kitaaluma. Kati ya hizo ni:

  • Theolojia ni matumizi ya mbinu za kiuanazuoni ndani ya dini fulani, kwa mfano theolojia ya kikristo, ya kiislamuu, ya kiyahudi n.k.
  • Falsafa ya dini inajaribu kutazama muundo wa fikra na mafundisho ya kidini. Inatumia mbinu na maswali ya falsafa ikitazama maswali kama: - je tunaweza kusema juu ya Mungu namna gani? - kuna maisha au uhai kupita kifo? - jinsi gani tunaweza kujua habari za mambo yajayo, maisha ya milele, asili na lengo la dunia?
  • Elimu ya dini inatazama dini mbalimbali na kuzilinganisha: jinsi zinavyobadilika, jinsi ibada zao zinaendelea, jinsi jumuiya zao zinakua au kupungua, nafasi ya dini katika maisha ya jamii n.k.
  • Somo la takwimu ya dini linajaribu kuhesabu idadi ya wafuasi wa dini mbalimbali.
  • saikolojia ya dini inajaribu kuchunguza jinsi gani aina mbalimbali za imani zinahusiana na aina za roho za kibinadamu.
  • ulinganisho wa dini inatazama hasa mafundisho na hali halisi ya dini mbalimbali jinsi zinavyofanana au kutofautiana: kwa mfano fundisho la Mungu mmoja katika Uyahudi-Ukristo-Uislamu-Uhindu; au fundisho la kuona kiroho katika umistiki (Ukristo), kabbala (Uyahudi), usufi (Uislamu), tantra (Uhindi, Ubuddha).
  • Ukosoaji wa dini uko karibu na falsafa ya dini ukiwa na mwelekeo wa kuliza maswali, kutamka wasiwasi, kuchunguza madai ya matamshi ya dini mbele ya misingi za akili ya kibinadamu

Pia kuna mchepuko mpya wa Dini katika siku hizi kama vile Scientology, yenye kuzingatia mtazamo wa kisasa, na wazo la mtu kujikomboa kiroho kutokana na imani ya nguvu roho na mtu na maarifa ya nafsi.

Pia angalia New Age Movement, Rastafari, Yoga, Zen, Confucius na Tao.

Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com