Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Ukosoaji wa dini - Wikipedia

Ukosoaji wa dini

From Wikipedia

Ukosoaji wa dini ni mtindo wa kitaalamu wa fikra na mbinu zinazotaka kuchungulia madai katika matamshi ya dini, mafundisho yake na hali halisi ya dini mbele ya misingi ya akili ya kibinadamu.

Ukosoaji wa dini hutazama dini bila kukubali ukweli wake kama matamshi, mawazo na maandiko ya kibinadamu.

Kuna aina na ngazi nyingi za ukosoaji kama vile:

  • kuanzia kwenye wasiwasi kama mapokeo na desturi ni za kweli au kama watumishi wa dini waliongeza au kuacha sehemu za ujumbe wa kidini
  • wasiwasi kama akili na imani ya kidini zinaweza kwnda pamoja
  • uhusiano wa karibu kati ya mahitaji ya jamii, siasa au uchumi na mabadiliko katika dini
  • imani ya kwamba dini ni itikadi ya kibinadamu kama mawazo yote mengine
  • ukosoaji wa mafundisho ya kale yasiyolingana na wakati lakini yapo katika amri za kimsingi za dini mbalimbali

na mengi mengine.

Ukosoaji wa dini unapatikana hata ndani ya jumuiya za kidini kwa namna mbalimbali:

  • mafundisho ya Biblia pia ya Korani yana ukosoaji wa dini za mataifa za miungu mingi
  • Ubudha ni aina ya dini isiyohitaji dhana ya Mungu
  • Uislamu na Uyahudi zote zilikuwa na wafuasi ambao hawakuweza kuamini tena mafundisho ya imani lakini wamejitazama bado kama Waislamu au Wayahudi kwa sababu waliona jumuiya hizi ziko kijamii hata bila imani yenyewe. Huwa wanaangaliwa kama wazushi au wasaliti lakini walijitokea tena.
  • Ukosoaji mkali katika Ulaya ulianzishwa mara nyingi na watu wenye elimu ya kidini ya Ukristo kama vile Feuerbach na Nietzsche


Image:WikiLettreMini.png Makala hiyo kuhusu "Ukosoaji wa dini" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Ukosoaji wa dini kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Lugha nyingine
Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com