Historia
From Wikipedia
Historia ni somo kuhusu maisha ya binadamu na utamaduni wao wakati uliopita. Mara nyingi neno historia pia ina maana ya maarifa yoyote kuhusu wakati uliopita, yawe au yasiwe maarifa ya watu (kwa mfano "historia ya ulimwengu").
Wanahistoria wanatoa maarifa yao kutoka maandiko ya zamani, kutoka fasihi simulizi na kutoka akiolojia.
[edit] Kurasa zinazohusiana
- Historia ya Afrika
- Historia ya Amerika
- Historia ya Australia
- Historia ya Ulaya
- Miaka
- Vita
Makala hiyo kuhusu "Historia" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Historia kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |