William Ramsay
From Wikipedia
William Ramsay (2 Oktoba, 1852 – 23 Julai, 1916) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alivumbua na kuchunguza elementi za gesi, yaani neoni, agoni, kriptoni na xenoni. Mwaka wa 1904 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.